min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Viazi tu haoWakiweka wazi makubaliano tutajua nani kakubali kushindwa. Sasa hivi wachina na wamarekani wa Tandale wataleta porojo.
Bongo hakuna maisha buda
Jibu bro upo kimya na China yako
Mshindi ni ChinaNgoja tuone, ni mapema sana kuamua mshindi.
bongo kuna maisha gan hata ya kumzidi homeless wa us kwenye mhitaji muhimu ya binadamu ? Hizo nguo tu ni tu ni prof wa bongoCalifornia moja mwamba akiwa nje ya mjengo wake
View attachment 3331900
Angalia bwasheeInahusu nini?
Waachie wanaoijua China bwasheeKuhusu nini ?
Leo umetupia vitu nini mzee baba 😄Mkuu ndani ya jeshi la Us unafahamu waislam wanapata nafasi kubwa tofauti na nchi nyingine?
bongo kuna maisha gan hata ya kumzidi homeless wa us kwenye mhitaji muhimu ya binadamu ? Hizo nguo tu ni tu ni prof wa bongo
Yap natupia hata sasa na ushahidi ninao mangi japo mimi siamini dini na imani zoteLeo umetupia vitu nini mzee baba 😄
Angalia bwashee
Sakata la China na Marekani halina harufu yoyote ya kidini... Pia maeneo mengi Marekani anayofanya shughuli zake haihusiani na dini ni maslahi tuYap natupia hata sasa na ushahidi ninao mangi japo mimi siamini dini na imani zote
Unafahamu homeless wa us wamemetokana na nini hasa ?,inakua vip wahamiaji kama mimi sio homeless?Kuwa homeless ni kipimo cha ubovu wa maisha. Hakuna asiyependa kuishi kwenye nyumba ni ugumu wa hali za kiuchumi. Hizo nguo hata hiyo tent ni made in China
Unafahamu homeless wa us wamemetokana na nini hasa ?,inakua vip wahamiaji kama mimi sio homeless?
View: https://youtu.be/z4NyLe7VvdM?si=W0jY79X2ZpK1-P2t