min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mkuu najua unaipenda China, vipi kuhusu mtanzania kupambania China ama US?
Mkuu najua unaipenda China, vipi kuhusu mtanzania kupambania China ama US?
Wewe sema.Nkisema hapa mtasema najisifu mamaee
Ilikuwa lazima iwe hivi. Bidhaa nyingi marekani zinatoka China. Trump bwege sana.Yalishaanza kumshinda Marekani.
Mkuu najua unaipenda China, vipi kuhusu mtanzania kupambania China ama US?
China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Kwamba ni kazi gani tofauti na ubunge unaweza piga ukamshinda mbeba box wewe?Wewe sema.
Ila maisha na hali ya Wamarekani wengi inafahamika.
Na siku hizi kuna wimbi kubwa sana la Wamarekani, kutafuta maisha ya USTAAFU nje ya Marekani
Yani China inaizidi vipi us?Samahani mkuu sijakusoma unamaanisha kupambia kiaje?
Hii imenikumbusha trade war ya 2018.Ilikuwa lazima iwe hivi. Bidhaa nyingi marekani zinatoka China. Trump bwege sana.
Mkuu ndani ya jeshi la Us unafahamu waislam wanapata nafasi kubwa tofauti na nchi nyingine?Hii imenikumbusha trade war ya 2018.
China sasa hivi imeshakua giant HUWEZI tumia sera za kupambana na Myanmar kiuchumi dhidi ya China.
Mie sizungumzii dini kaka.Mkuu ndani ya jeshi la Us unafahamu waislam wanapata nafasi kubwa tofauti na nchi nyingine?
Kaka now nipo mafunzo kwa hilo jeshi huwa nashangaa mnavyosema hivyoMie sizungumzii dini kaka.
Pia je unafahamu kuwa Marekani ndiye aliyadhulumu na kuangusha nchi za kiislam kipindi zinajiinua kiuchumi kwa kiasi kikubwa!?
Libya ilikua nchi isiyo na deni enzi za Gaddafi ila je sasa ipoje!?
Iraq pia ilipitia mauaji ya kikatili Jullian Assange ushahidi anao wakampa kesi ya espionage.
Siwezi kumshinda.Kwamba ni kazi gani tofauti na ubunge unaweza piga ukamshinda mbeba box wewe?
That's just politics kaka.Kaka now nipo mafunzo kwa hilo jeshi huwa nashangaa mnavyosema hivyo
Mimi ni mwislamu kwa kutambulika kidini ila ndani ya Jeshi la marekani kila mtu anapewa nafasi ya kusali kwa dini yakeThat's just politics kaka.
Ila kiuhalisia USA haipendi waislam.
Tizama nchi za kiislam zilivyoharibiwa.
Leo hii mataifa ya middle east yasingeingiliwa kisiasa basi yangekua yametulia na kusingekua na kelele za refugees.
Sawa mkuu ila nadhani tumeelewana.Mimi ni mwislamu kwa kutambulika kidini ila ndani ya Jeshi la marekani kila mtu anapewa nafasi ya kusali kwa dini yake
Ukionyesha hukla ya kigaidi tunakupiga tu ,hata kama mimi ni mwislamu mwenzakoSawa mkuu ila nadhani tumeelewana.
Hiyo haitoshi kusema Marekani wanawapenda waislam.
Haya yanaitwa mahaba mshindo….China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Yani China inaizidi vipi us?
Mfano mimi nipo US nimewezea vipi, kufanikiwa kwa haraka Tanzania?China inaizidi Marekani kwenye sehemu nyingi
Lakini tugusie tu sehemu moja muhimu inayohusiana na maisha ya watu ya kila siku, yaani gharama za maisha (cost of living)
Gharama za maisha Marekani ni kubwa sana hivi kwamba Wamarekani wengi wanaishi kwa kadi za mikopo na wengine wanashindwa kuafford hata baadhi ya huduma na bidhaa.
Huduma au bidhaa ileile ambayo Marekani unaipata kwa gharama kubwa China ni nafuu sana. Kuanzia huduma za afya, usafiri na housing.
Ni rahisi kusave kibunda China kuliko Marekani.
Ikiwa leo Marekani kwa aibu imekubali kushusha tariffs kwa bidhaa za China inaonyesha jinsi gani wanaihitaji sana China kwa aajili ya bidhaa muhimu