min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mimi kote nimeishi hivyo najua na maanisha nini, hivyo sihitaji kubishana kwa hili asante šUnataka kulinganisha katika nini na nini ? Tuanze
Mimi kote nimeishi hivyo najua na maanisha nini, hivyo sihitaji kubishana kwa hili asante šUnataka kulinganisha katika nini na nini ? Tuanze
šKumbe upo kubishana åč§
Fuatilia mkuuMasharti gani ?
Fox News fake. Subiri ,usiwe na haraka hivyo.fuatilia NEWS kwenye vyombo vya habari mkuu hiyo ni habari ya ukurasa wa mbele magazeti makubwa yote
Acha porojo jombaa,uchumi WA china ni uchumi bandia,ni basi tu welevu wanakaa kimyaHujui unachoongea ndugu, wakati mwingine kaa kimya itakusaidia.
Hebu tuambie business turnover kati ya china na Marekani ni kiasi gani. Pili tuambie balance of trade au payment zikoje? Pia tuambie anachochukua kutoka China ni asilimia ngapi ya biashara yote ya Mchina? Tupe takwimu kisha uje utuambie kama upo sahihi au la.
Weee,hakuna uchumi na biashara isiyo bandia dunia ya leo mkuu.Acha porojo jombaa,uchumi WA china ni uchumi bandia,ni basi tu welevu wanakaa kimya
Nimefuatilia ni tofauti na ulichoandika. Ukweli ni kwamba ni pause kwa siku tisini na kila upande umeshusha tariffs kwa 155%fuatilia NEWS kwenye vyombo vya habari mkuu hiyo ni habari ya ukurasa wa mbele magazeti makubwa yote
Hii ni BBCNimefuatilia ni tofauti na ulichoandika. Ukweli ni kwamba ni pause kwa siku tisini na kila upande umeshusha tariffs kwa 155%
Usiropoke ujinga wewe.China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Hiyo jinga wewe ndio nini ?Usiropoke ujinga wewe.
Aliyetaka yaishe ni Marekani.
Marekani ndio iliyohitaji hayo mazungumzo.
Kama China ni mtu wa kusarenda basi hata 2018 angesarenda ila alikazana hadi USA ilishindwa.
Marekani hata ukiwa na akili zako timamu. Ni rahisi sana kuwa homelessWengi wao ni waraibu wa dawa za kulevya hivyo hugoma masharti ya serikali ili kupata misaada
Ulishawahi kuishi marekani au upo marekani?Marekani hata ukiwa na akili zako timamu. Ni rahisi sana kuwa homeless
Nimewahi kwenda, nikarudiUlishawahi kuishi marekani au upo marekani?
OK now nipo State na nimeishi miaka ya kutoshaNimewahi kwenda, nikarudi
Umewahi kutoka, au uko trapped na madeni.OK now nipo State na nimeishi miaka ya kutosha
Nkisema hapa mtasema najisifu mamaeeUmewahi kutoka, au uko trapped na madeni.
Maana Wamarekani wengi hata nauli ya kusafiri hawana