Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Wapo.

Lakini Marekani inaongoza kutishia wananchi wake wasitoke nje ya Marekani.

Wamarekani siku hizi wanazamia mpaka Tanzania, ndio washindwe China
Hahaha fuatilia takwimu
 
China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Utaahira ni kipaji 🤣🤣
 
Kwa China marekani walibugia kiazi cha moto sema wamejitahidi kukitema kikiwa cha moto
Na Wazungu waendelee tu kuficha teknolojia yao.

Siku wakijidanganya kuleta teknolojia yao, Afrika, Ulaya na Marekani ZINAKUFA completely..


Waendelee kuficha ili tuendelee kuwapekea Malighafi
 
Wapi ulishawahi kuona mmarekani anachezesha makudukudu kwenye nchi za kimatumbi kama wachina?
Screenshot-2024-12-17-at-2.37.20-PM.png
best-cities-to-be-homeless-2-1024x683.jpg
 
Back
Top Bottom