Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Unaonaje life la Marekani?Mfano mimibnip US
Unaonaje life la Marekani?Mfano mimibnip US
Nimekosa edit rudia tenaUnaonaje life la Marekani?
Unaweza kunieleza kaka Gaddafi alikosea nini kwa USA!?Ukionyesha hukla ya kigaidi tunakupiga tu ,hata kama mimi ni mwislamu mwenzako
Maisha yakoje Marekani?Nimekumis edit rudia tena
Nimekosea msg mkuuMaisha yakoje Marekani?
Maisha ya US yana shida gani kama unachapa kazi?Maisha yakoje Marekani?
Kila mahali duniani watu wanachapa kaziMaisha ya US yana shida gani kama unachapa kazi?
Hii taarifa imenifanya nipoteze $44,daaahIkulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.
Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.
Waziri wa Fedha, Scott Bessent, alisema wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo hayo na taarifa kamili itatolewa kesho. Aliongeza kuwa mazungumzo yalikuwa ya mafanikio na kwamba Rais Trump amepewa taarifa kamili.
Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, alisema mazungumzo ya siku mbili yalikuwa ya kujenga na walikubaliana kwa haraka, jambo linaloashiria kuwa tofauti kati yao hazikuwa kubwa kama ilivyodhaniwa.
Baada ya kutangaza hali ya dharura ya kitaifa, Rais Trump alipandisha ushuru wa bidhaa kutoka China hadi 145%. Greer alihitimisha kwa kusema wana imani kuwa makubaliano hayo yatachangia kutatua hali hiyo ya dharura.
Umefanikiwa nini huko Marekani?Mfano mimi nipo US nimewezea vipi, kufanikiwa kwa haraka Tanzania?
Mimi pia ni mmarekanik coz nimepata iraia vipi kuhusu mimi?Kila mahali duniani watu wanachapa kazi
Ila Cost if living ndiyo inawapasua vichwa Wamarekani
Mimi pia ni mmarekanik coz nimepata iraia vipi kuhusu mimi?
Sio tu marekani sema na Tz kwa ndugu zangu woteUmefanikiwa nini huko Marekani?
No napiga kazi na elimu ya kimataifa ninayo, upo?Endelea kupambana na gharama za maisha
Sio tu marekani sema na Tz kwa ndugu zangu wote
Elimu ya kimataifa ndiyo nini?No napiga kazi na elimu ya kimataifa ninayo, upo?
Bongo hakuna maisha budaMbona hayo mambo watu wanayafanya wakiwa hapa hapa bila kwenda kiwanja