Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Utulivu wa soko la kimataifa – Mataifa mengine yanayofanya biashara na China au Marekani yatanufaika kutokana na utulivu huu mpya.
 
China iliweka tarrifs 125% U.S.A 145% walisema wataishia 125% hawatopanda zaidi ya hapo maana itakuwa ni utoto na haina maana.
Makubaliano yao kwenye hichi kikao China kashuka hadi wapi na USA hadi wapi?
 
Back
Top Bottom