Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Sio kuwa USA ameshusha hadi 30 na China ndo 10?
Sio kosa lako tatizo ni lugha na kutojua mambo yanayohusika

Marekani kapunguza hadi 10% kama China

Hiyo 20% ni ya fentanly haihusiani na zile tariffs za kuanzia April 02. Ndio maana inaonekana Marekani kaweka 30%

Makubaliano haya yanahusu tariffs aliyoanzisha Trump April 02 alipopandwa na wazimu na kuongeza tariffs kwa China

Sasa China imemnyenyekeza walimwambia ukitaka makubaliano aondoe tariffs alizoongeza

Marekani imekubali ndio maana wamefanya huo mkutano
​
 
Kumbe mwenzetu ulikuwa unashindana? 😅😅😅

Kumbe basi uwezo wako mdogo sana
Yeah niliwalenga nyie wafuasi wa china leo na huu uwezo wangu mdogo ila nina uzoefu japo nilijua nitawagusa marafiki zangu kama wewe na Mi mi
 
Nyie bishaneni weeee ila main issue ni kuwa difference between rich and poor ni kubwa Marekani kuliko China kwakuwa Marekani ni capitalist tangia miaka ya nyuma. Marekani matajiri tu ndo wanamiliki ardhi. Uzuri wa serikali ya Marekani ni kuwa working class yake inazingatiwa yaani ina standard of living nzuri ukilinganisha na working class ya China.
 
Yaani unakataa hiyo picha kuwa sio Marekani?

Marekani fursa iko kwa matajiri wachache na ndio ambao wameshika asilimia 80% ya uchumi wa Marekani
jibu swali, umewahi kufika USA? Leo nataka nikupe nikuongezee kitu kwenye ufahamu wako... USA fursa ziko kwa matajiri 😄 hizi story mnazitoa wapi nyie wabongo..
 
Nyie bishaneni weeee ila main issue ni kuwa difference between rich and poor ni kubwa Marekani kuliko China kwakuwa Marekani ni capitalist tangia miaka ya nyuma. Marekani matajiri tu ndo wanamiliki ardhi. Uzuri wa serikali ya Marekani ni kuwa working class yake inazingatiwa yaani ina standard of living nzuri ukilinganisha na working class ya China.
China na ya Tanzania haina tofauti
 
Uongozi hauhitaji mihemko na kutaka sifa za kutrend kwenye social media
Hii ni kweli, jingine ni Mchina bado anahitaji soko la Mmarekani japokuwa inaongozwa na domokaya.
 
Vijana wengi watetezi wa China kutoka Africa hawajawahi kufanya kazi us na nchi za ulaya
wanaishi kwenye ulimwengu wa propaganda na hata hao homeless hawajui chochote kuwahusu... nawapenda wachina sababu hawachagui kazi, mmarekani yupo tayari kulala barabarani sababu tu amekosa kazi anayoipenda

wachina USA wanagombania vibarua na wabongo😀
 
Wewe unajua japo mtu kokosa kazi us mtu awe kiazi wa mwisho
 
Sio kosa lako tatizo ni lugha na kutojua mambo yanayohusika

Marekani kapunguza hadi 10% kama China

Hiyo 20% ni ya fentanly haihusiani na zile tariffs za kuanzia April 02. Ndio maana inaonekana Marekani kaweka 30%

Makubaliano haya yanahusu tariffs aliyoanzisha Trump April 02 alipopandwa na wazimu na kuongeza tariffs kwa China

Sasa China imemnyenyekeza walimwambia ukitaka makubaliano aondoe tariffs alizoongeza

Marekani imekubali ndio maana wamefanya huo mkutano
​
Asante kwa maelezo na hongera kwa ujuaji.
Screenshot_20250512-203501_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom