min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Braza umeruka meelezo yangu ujueVizuri umeleta hii source
Sasa umeelewa kilichoongelewa hapo?
Braza umeruka meelezo yangu ujueVizuri umeleta hii source
Sasa umeelewa kilichoongelewa hapo?
wamarekani ni watu wa hovyo sana sijapata kuonaWewe unajua japo mtu kokosa kazi us mtu awe kiazi wa mwisho
Sawa, na wewe ulifika sehemu gani?umeanza kuweka tena siri!! sawa
Kuhusu nini mkuu?Braza umeruka meelezo yangu ujue
Mimi ni mmarekani nakuaje mtu wa hovyo against mmatumbi?wamarekani ni watu wa hovyo sana sijapata kuona
Hapana mkuu. Kingereza ni cha ze ze.Vizuri umeleta hii source
Sasa umeelewa kilichoongelewa hapo?
Basi karudie kusoma message #201Hapana mkuu. Kingereza ni cha ze ze.
Miki nipo marekani now na China nimeishi yiwu kibiasharaKuhusu nini mkuu?
Ilikuwa ni tactics za kurudi mezani kuweka terms upya. China na US zote zinategemeana. Sisi tuendelee kuchagua upande kama Simba na Yanga.Trump ni mafiii!
Mbwembwe zote zile zilikuwa za nini sasa?
Ajabu sasa mchina yeyealimuona Trump kama taahira flani tu,
Trump Alipoona mchina kamchunia akaazna kujibebisha kwa Xi jing ping
Ok mkuuBasi karudie kusoma message #201
Rhode,oregon na KentuckySawa, na wewe ulifika sehemu gani?
Kaka haizuii sisi kupata pesa wewe upo SA ku n a pesa gani hapo,?Marekani ya Trump hamna kitu alidhani akipandisha kodi watakaoathirika ni China pekee aisee...
wanadeka kama watotoMimi ni mmarekani nakuaje mtu wa hovyo against mmatumbi?
Miki nipo marekani now na China nimeishi yiwu kibiashara
Wajinga tu wengi ni keyboard woriazi tuwanadeka kama watoto
Kimasomo na nilisoma zaidi ya mwakaUlienda Yiwu kwa ajili ya biashara gani?
Mbona umenivamia mkuu shida nini ishu ya USA na pesa za SA zinaingiliana vip..Kaka haizuii sisi kupata pesa wewe upo SA ku n a pesa gani hapo,?
Tiari hata hivyo china lazima ichukue hatua kuachana na usa usa ameshaajiharibia amna mtu atakayemwamini tenaIkulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.
Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.
Waziri wa Fedha, Scott Bessent, alisema wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo hayo na taarifa kamili itatolewa kesho. Aliongeza kuwa mazungumzo yalikuwa ya mafanikio na kwamba Rais Trump amepewa taarifa kamili.
Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, alisema mazungumzo ya siku mbili yalikuwa ya kujenga na walikubaliana kwa haraka, jambo linaloashiria kuwa tofauti kati yao hazikuwa kubwa kama ilivyodhaniwa.
Baada ya kutangaza hali ya dharura ya kitaifa, Rais Trump alipandisha ushuru wa bidhaa kutoka China hadi 145%. Greer alihitimisha kwa kusema wana imani kuwa makubaliano hayo yatachangia kutatua hali hiyo ya dharura.
Kwa hiyo haukwenda kibiashara kama ulivyosema?Kimasomo na nilisoma zaidi ya mwaka