SI KWELI Marekani na DRC wakubaliana katika mikataba ya madini adimu na ulinzi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Acha tu ndio maana yule wa BURKINABE hataki mazoea
Nakubaliana na wewe kwamba kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wetu watu weusi. Yule wa Bukinafaso was more worse, walau kajitambua but je ataishi muda mrefu yule kweli? I doubt, watu weusi wanaweza kumsariti afe kama walivo kufa wapigania uhuru kina Kwame Nkuruma, Patrice Lumumba, nk.
 
Ndo hitaji lake kwa sasa. Uwwzekano mkubwa kapunjwa.
Alternatively, aorganise achimbe mwenyewe awauzie faida aitumie kuimarisha usalama wake, na hii ndo best alternative but it needs brain to implement. Hiyo brain anayo?
ukiwa na shida chochote utakachoambiwa utafanya uhai ni bora kuliko mali mfano unamuona zelensky amekaza kusaini mikataba ya madini mwisho amekubali watu wachimbe madini yy anasaidiwa ulinzi
 
Hao jamaa Wakiingia basi Vita haitaisha. Huu ni Ushindi kwa M23
 
Kwahiyo slim ajiandae kwa lolote
 
Trump yupo kazini haswa, hapo DRC ameona Wafaransa wanavuna na wayahudi, wachina yaani ni shamba la kuokoteza tu

Sasa ameona na yeye aje wa mtindo mwingine
Waafrika kuja kujielewa ni ngumu sana
Unashangaa waliouza mababu kwa waarabu na wazungu
Ila bado akili zile zile tu
 
Niliwahi kuandika Uzi huu


Nafikiri majibu yamepatikana sasa.

Wanajeshi wa drc ndio walikua wanaua raia ili wazalendo ( wao wanawaita waasi) wa drc waliokua jeshini waliasi wanaotaka kulinda rasilimali za nchi waonekane wao ndio wabaya ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…