ππππVenezuela naona kapewa siku kadhaa tu. Amesema Yes sir
Nimecheka kama mazuri. Mkuu,kwamba Gen-Z anakuwa anaona kama anacheza PS kumbe ndio ananyofoa Roho za watu uraiani hukoπ€£π€£π€£π€£Hawa watoto wa genz wengi wamepita jkt wakiletewa silaha kwa ndege na wakipewa shehena ya fpv drones na Ai drones za kutungua tokea mbali Mtu katulia geto huku ana control drone kama anacheza video game linalipua maccm. CCM watapigika vibaya mno
Labda ajiuzulu mwenyewe au jeshi liamue kupindua. Ila akiendelea kuua watu, halafu USA au Nato wakiamua kushusha shehena ya silaha toka angani nchi itangia kwenye civil war moja kubwa mno kati ya jeshi la ccm na anti-ccm rebels. Civil war inazaga kidogo kidogo hasa pakiwa na kiongozi mwenye kiburi, kama Sadam Hussein wa Iraq, Gaddafi wa Libya, Assad wa SyriaAendelee tena kuwaua tena D9.
Wazungu wana mbinu nyingi sio lazima watumie mbinu za Kongo.Maisha sio marahisi ivo, nchi kama congo ni rahisi kwa sababu nchi ni kubwa sana kuna sehem wana msa tafauti lugha tafauti, yaani community mpya kwa tz sio rahisi ivo
Credit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Kuna viongozi km watatu km sio wanne nawaona wanaenda kukata kamba mmoja baada ya mwingine 2025-2026... wait & seeHaya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Mawazo ya kizamani vita vya karne hii havihitaji pori ni vya kitekinolojia unatumiwa drones kumi unahangaika nazo jamaa yuko SA.Hahaha Bavicha bana kambi zitakuwa poli gani kwa Moshi?
Hiyo Libya sasa hivi hali yake ikoje? baada ya kuondoshwa GadaffiMuda utazungumza. Gaddafi alikuwa na kiburi mno. Ila alitolewa madarakani na kufa kama umbwa.
Mtu anayeonewa huwa haangalii baada ya anachojua ni kumuondoa kwanza anayemuonea.Hiyo Libya sasa hivi hali yake ikoje? baada ya kuondoshwa Gadaffi
Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Fuatilia, Magufuli aligusa interest zao (makinikia) etc wakamuondoa kivingine.Nitakuwa mwisho kuamini hilo, bado sijaona hizo nchi kama zina interest na chochote Tanzania kama kipo basi wangeshaanza ***** ***** muda mrefu...hiki kinachotokea ni internal conflicts,
Kwakweli watusaidie kuondoa KIBURI hiki hata Leo.Credit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Ndoto mbaya hii!!Kama GenZ wa kibongo wakiamua kutengeneza kundi la waasi kama genz rebels anti-samia rebels anti-ccm rebels, genz freedom fighters, genz resistance movement, au MO29 Rebels, wakiomba msaada wa usa au eu watapewa silaha hata kwa ndege toka angani. Kama walivyofanya kwa Gaddafi. Na kwa bahati nzuri hawa vijana wengi sana wamepita JKT kwa hiyo wana ABC za kutumia silaha. CCM watapigika vibaya mno.
Kwa jinsi ccm na shetani samia wanavyong'ang'ania madaraka njia pekee ya kuwatoa ni coup d'etat (au wanajeshi wa jwtz wamtoe samia Na ccm yote nadarakani) au Tanzanian civil war. Labda genz waamue kutulia ila wakiendelea kuuliwa kwa wingi na Mmarekani na NATO wakiingilia kati tutafika huko.Ndoto mbaya hii!!
Credit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Mnaichukulia hii nchi kizembe sanaa.... Wajaribu tuKama GenZ wa kibongo wakiamua kutengeneza kundi la waasi kama genz rebels anti-samia rebels anti-ccm rebels, genz freedom fighters, genz resistance movement, au MO29 Rebels, wakiomba msaada wa usa au eu watapewa silaha hata kwa ndege toka angani. Kama walivyofanya kwa Gaddafi. Na kwa bahati nzuri hawa vijana wengi sana wamepita JKT kwa hiyo wana ABC za kutumia silaha. CCM watapigika vibaya mno.
Huyo marekani ananguvu kubwa sana .china yupo kwa maslai binafsi .alafu tanzania ni mnafiki afumgani na upande wowote hicho kimemlambaIlikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Kwa hiyo hao jwtz ndio wa kuzuia USA na Nato kuleta silaha tz kuwatoa ccm madarakani. Au Tanzania itashusha mabomu usa na nchi za ulaya zote. Au Tanzania itaipiga Usa vikwazo vya kiuchumi usa na ulaya yote mpaka mmarekani aiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi Na viongozi wote wa ulaya waiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi toka Tanzania. Nchi ambayo imeshindwa kuwapa watu maji tu, nchi imeshindwa kuwa na vyoo kwenye shule za msingi, imeshindwa kuwapa vijana ajira watoto wanamaliza shule na vyuo wapo tu ndani, Ndio ishushe bomu kwa mmarekani na kushusha mabomu ulaya yote?Mnaichukulia hii nchi kizembe sanaa.... Wajaribu tu