Kuna pimbi mmoja humu Mzee wa Uharo anakuambia Iran kasalimu amri.
Trump anatoa dola bilioni 300 kwa Iran. Hii inaweza kulipia:
โ Kuondolewa kwa deni la wanafunzi kwa Wamarekani milioni 7.6
โ Kukomesha ukosefu wa makazi nchini Marekani
โ Ruzuku za huduma ya afya kwa Wamarekani milioni 22 kwa karibu muongo mmoja
โ Bima ya Medicaid kwa Wamarekani milioni 3.2 kwa muongo mmoja
โ Msaada wa chakula kwa Wamarekani milioni 41 kwa miaka 3
โ Utafiti wa saratani ya shirikisho kwa miaka 40+
โ Chakula cha mchana cha shule bila malipo kwa kila mtoto nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 4
โ Kubadilisha kila bomba la risasi nchini Marekani
โ Pre-K ya bure kwa kila mtoto nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 7
View: https://x.com/hqnewsnow/status/2066621776851820912?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Copy & Paste zinakutesa sana!! Ukweli huu hapa chini ndiyo maana Nakuita **Mzee wa UharoKuna pimbi mmoja humu Mzee wa Uharo anakuambia Iran kasalimu amri.
Trump anatoa dola bilioni 300 kwa Iran. Hii inaweza kulipia:
โ Kuondolewa kwa deni la wanafunzi kwa Wamarekani milioni 7.6
โ Kukomesha ukosefu wa makazi nchini Marekani
โ Ruzuku za huduma ya afya kwa Wamarekani milioni 22 kwa karibu muongo mmoja
โ Bima ya Medicaid kwa Wamarekani milioni 3.2 kwa muongo mmoja
โ Msaada wa chakula kwa Wamarekani milioni 41 kwa miaka 3
โ Utafiti wa saratani ya shirikisho kwa miaka 40+
โ Chakula cha mchana cha shule bila malipo kwa kila mtoto nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 4
โ Kubadilisha kila bomba la risasi nchini Marekani
โ Pre-K ya bure kwa kila mtoto nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 7
View: https://x.com/hqnewsnow/status/2066621776851820912?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Inahusiana nini na marekani kufeli huko Iran?.. marekani haina mizizi,ni taifa linaloongozwa na wafanyabiashara mabepariUnahisi USA ni TZ siyo? Ile nchi ina mizizi mirefu kila Kona ya dunia unayoiishi๐คฃ hata USSR wakati wa cold war walipambwa kila Kona kwamba wapo vizuri! Ila mpaka leo hawajui nini kiliwakuta. Ogopa nchi ina influence dunia nzima
Hapo tukikuuliza unawajua wasanii wangapi top elites wa Iran na Russia huwajui! Lakini unafurahia pop, RNB na rap. Achilia mbali pepsi na coca unazokunywa daily bila kusahau iOS na android
Ukweli mwingine huu hapaCopy & Paste zinakutesa sana!! Ukweli huu hapa chini ndiyo maana Nakuita **Mzee wa Uharo
Usijtoe ufahamu hilo jina na Mzee wq Uharo mimi ndiyo nimekubatiza humu JF sasa hivi nafurahi watu wanakujua kama Mzee wa Uharo.Copy & Paste zinakutesa sana!! Ukweli huu hapa chini ndiyo maana Nakuita **Mzee wa Uharo
Hahahaaa.... Wangepiga na watoke nje ya Marekani kama walikuwa wanaume kweli. Mbona walifia humo? Au ndio ilikuwa Mecca yao?Wakati yeye anajiuliza alikamatwaje ili aje kivingine,na wakamataji nao pia wanapanga wamkamate vipi tena,
Au unafikiri nchi zimelala usingizi?
Ndio maana kuna watu waliingia nadani ya ardhi ya US wakasomea upilot kisha wakaziteka ndege ndani ya ardhi ya US na kufanya ile attack ya 9/11 mpaka Pentagon ilipigwa.
we hujauona?Uchi gani uliouona hapo!?
We jamaa ni kilaza, mizigo gani ilikua haipiti? Unajua maana ya Iran shadow fleet? Mizigo ilikua inapita kwa kutumia bendera za nchi kama China, Oman etc na pia mafuta yalisafirishwa kupitia meli chakavu ambazo hata radar haiwezi detect.Ujinga mtupu unawasumbua Iran Mwanzo alikataa kabisa mazungumzo lakini baada ya Total-Blockade ilibidi asalimu amri maana palikuwa hapapiti kitu bila idhini ya Marekani Iran alikuwa hufanya biashara yoyote ile!!,,
Hahhahaha๐Kwaiyo ndio kusema!! Trump hakumshirikisha Echolima1 kwenye makubaliano. Muhimu kiasi kile!!!! Sasa itakuwaje !! Echolima1 endelea kugoma.