Uncle Sam hafanyi negotiation from position of strength
Ataingia kwako akupige, aharibu kila kitu mwisho aibe kila anachoweza mf Afghanistan, Iraq, Syria, Libya na hata Venezuela kumnyakua Rais wao
Ukiona anazungumza nawe hapo jua mambo hayako sawa upande wake
Amekubali masharti ya Iran (14 point plan) na ameipa unafuu zaidi ya hapo awali
Watu asiowataka, IRGC ndio wanaongoza nchi, ma hardliner kuliko wazee waliokufa waliokuwa washajichokea, living on borrowed time
Viongozi wa sasa ni maveteran wa vita ya miaka 8 Iran vs Iraq, miaka ya 80, wao vita ya attrition ndio walijifunzia maisha. Imebidi akae nao miezi 2 wanafanya negotiations na misimamo yao licha ya kuwaita “terrorists” na US principle yao hawa negotiate na “terrorists”
Trump ameshindwa kuangusha utawala wa Iran licha ya pressure kutoka kwa Israel
na aibu kubwa kwake bendera ya Iran inapepea US huku nyimbo ya kusifu Islamic revolution inapigwa nchini kwake
Iran imepata uungwaji mkono na mataifa mengi tofauti na hapo awali na propaganda za Western media
Angalia support waliyoipata kwenye World Cup
EU wameona nani wa kushirikiana naye na siasa za Middle East zinabadilika
Nchi za kiarabu zitaanza kuiheshimu Iran zaidi na kutotegemea ulinzi wa US
Israel hawataki peace plan na wanaona US amewaangusha
Watasababisha machafuko au mauaji US ili waisingizie Iran halafu US wapate sababu ya kupigana tena, jambo ambalo hawako tayari ila AIPAC na watu wao lazima watataka kutimiza malengo yao
Leo B52 imeanguka huko US,
Mossad washaingia kazini
View: https://x.com/mog_russen/status/2066617534426870198?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q
huku mahusiano yanaanza kuharibika
“ Israeli National Security Minister Itamar Ben-Gvir canceled a planned family trip to the United States after encountering difficulties obtaining a U.S. visa, per Haaretz”