Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

Nani kakudanganya kuwa Iran lazima itengenezee Iran? Hujui hata Saudi Arabia ina nuclear kupitia Pakistan?

Iran anaweza hata kununua Russia au China ama kutengenezea huko huko maana wataalamu wake wengi tu wa nuclear wanafanya kazi huko China, Russia na Pakistan kwenye kutengeneza nuclear bombs.

Ni mshamba tu kama wewe anayedhani ni lazima utengeneze ndani ya Iran hizo nuclear. Hata Pakistan walipata kupitia China. So huu mkataba ni wa kusogeza tu siku Trump aondoke madarakani akija Democrat ambao ni moderate Iran watakua na nuclear na nakwambia muda huo uchumi wao utakua ume recover maana hawatokua na vikwazo tena.

Tutarudi hapa, tuombe uzima tu
Inaonekana huijui mikataba ya Nukes wewe? Afu ni fala mmoja ....unadhani marekani naye akimpa Taiwani,Japan, SK, Eukraine Poland n.k unadhani Nani atakuwa salama? Muwe mnasoma Kwanza hivi vitu
 
Israel si wanasema ana uwezo kuzidi Marekani ni muda sasa wa kuingia vitani peke yake dhini ya Iran mtu mbili tu.
 
Master Arrachi🙌🏽

🇮🇷 Abbas Araghchi amebadilisha sana mazingira ya kikanda.

• Dola bilioni 24 za Iran zinatarajiwa kuahirishwa
• Vikwazo vya mafuta vinatarajiwa kupunguzwa
• Hatua ya kijeshi ya Marekani katika eneo hilo imepunguzwa
• Mfumo wa kusitisha mapigano unaripotiwa kujumuisha Lebanon
• Washington inaashiria sera ya kutoingilia mambo ya ndani ya Iran

Kufuatia ziara za ngazi ya juu nchini Urusi, China, na UAE, Iran inasema imejenga uhusiano imara wa kidiplomasia.

Wafuasi wanasema maendeleo haya yanawakilisha pigo kubwa kwa mbinu ya Trump. 🔥


View: https://x.com/irantimes14/status/2066387196798726369?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Alafu hawajafanikiwa kwenye Regime change!
 
Mkubwa mwenzake wa nyoko! Mkubwa anashindwa kulinda viongozi wake waandamizi!? Hapo Iran amelegea tepetepe hataridia kuwa kitisho Kwa Israel tena

Unamtazamo mdogo sana juu ya hili swala,kajielimishe kidogo​

 
Kwa hiyo anayesaini ni Ayatollah Yule yule?
Maadam Ayatollah ni cheo sio mtu na mbaya zaidi ameuwawa Khamenei na amekua replaced na khamenei tena mwenye msimamo mkali kuliko baba yake? Sasa USA amefanikiwa regime change wakati hardliners wa IRGC ndio wamepandishwa vyeo. Mfano Ahmed Vahidi ambaye alikua na kesi ya kulipua Argentina ndio kapandishwa cheo kuwa mkuu wa majeshi. Hapo sijaongelea moderates wote kama Ahmedinejad kuwekwa pembeni na wale makatili kupanda vyeo sasa huoni ndio Iran itakua hatari kuliko awali?

USA messed up kwenye hii vita. Walipambana na mtu wasiyemjua vizuri maana waliamini wangepigwa tu kama Iraq na Afghanistan
 
Hata kuwafanya waishi mashimoni kama panya si haba. Nao wanapenda kupunga upepo kama normal people
Nani kajificha? Mbona hata wanajua kuwa Mojtaba yupo Qom na hawajamuua maana wameona ni useless. Akifa anateuliwa mwingine na maisha yanaendelea
 

Unamtazamo mdogo sana juu ya hili swala,kajielimishe kidogo​

Au siyo unahisi kuandika kutumia
Maadam Ayatollah ni cheo sio mtu na mbaya zaidi ameuwawa Khamenei na amekua replaced na khamenei tena mwenye msimamo mkali kuliko baba yake? Sasa USA amefanikiwa regime change wakati hardliners wa IRGC ndio wamepandishwa vyeo. Mfano Ahmed Vahidi ambaye alikua na kesi ya kulipua Argentina ndio kapandishwa cheo kuwa mkuu wa majeshi. Hapo sijaongelea moderates wote kama Ahmedinejad kuwekwa pembeni na wale makatili kupanda vyeo sasa huoni ndio Iran itakua hatari kuliko awali?

USA messed up kwenye hii vita. Walipambana na mtu wasiyemjua vizuri maana waliamini wangepigwa tu kama Iraq na Afghanistan
Stop this nonsense. Unadhani kama Marekani hakuijua Iran Obama asingesain angewafanyia kama Libya. Wanaijua in and out ndo maana wamechanga karata zao safari hii. Very calculated move au unataka Marekani afanye kufuru ya bombings aue raia wote ndo mjue ana nguvu? Wenzako wanaangalia Pandey zote biashara Human rights n.k.
Unadhani Iran angekuwa na uwezo wa kufika American mainland kama USA alivyofika angekuwa mstaarabu?
 
Inaonekana huijui mikataba ya Nukes wewe? Afu ni fala mmoja ....unadhani marekani naye akimpa Taiwani,Japan, SK, Eukraine Poland n.k unadhani Nani atakuwa salama? Muwe mnasoma Kwanza hivi vitu
Mikataba ipi? Mbona ufaransa imesaini mkataba na Denmark kuwa ikivamiwa na kuhitaji nuclear basi inapewa na ufaransa.

Hapo sijaongelea mkataba wa saudia na Pakistan kwamba Saudi Arabia ikivamiwa basi wanawasaidia nuclear na hapa tunavyoongea tayari askari wa pakistan walishaendaga Saudi Arabia na kuwa tayari kwa orders zozote za kutumia nuclear kama Iran ingeitishia kuiteketeza saudi Arabia.

Na sitaki kuongelea nchi ngapi zina mkataba wa hivyo kwa China na Russia. Hivyo nuclear kwa sasa sio mpaka utengeneze mwenyewe, unampa tu pesa mshirika wako anakutengenezea na kukutunzia siku ukihitaji anakuletea kummaliza adui yako. Na hiyo ndio Iran anaweza fanya na North Korea, Russia au China na hakuna kitu US atafanya maana hao ni wababe wake.
 
✅ Kufunguliwa tena mara moja kwa Mlango-Bahari wa Hormuz
✅ Kuondolewa kwa kizuizi cha Marekani
Mlikuwa mnaaminisha wajinga wenzenu kuwa Marekani haijaweka Total-Blockade huko Hormuz wakati ukweli ni kuwa kilikuwa hakipiti kitu hapo bila idhini ya Marekani.

Leo hii Mzee wa Uharo umeamua kujitoa ujinga unasema ukweli!!!!
 
US katiwa aibu sana na Iran…
Leo hii anashangilia makubaliano…
Sikufikiri kuna siku itakuwa hivyo🤣
 
Na sitaki kuongelea nchi ngapi zina mkataba wa hivyo kwa China na Russia. Hivyo nuclear kwa sasa sio mpaka utengeneze mwenyewe, unampa tu pesa mshirika wako anakutengenezea na kukutunzia siku ukihitaji anakuletea kummaliza adui yako. Na hiyo ndio Iran anaweza fanya na North Korea, Russia au China na hakuna kitu US atafanya maana hao ni wababe wake.
Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako!!
 
Na sitaki kuongelea nchi ngapi zina mkataba wa hivyo kwa China na Russia. Hivyo nuclear kwa sasa sio mpaka utengeneze mwenyewe, unampa tu pesa mshirika wako anakutengenezea na kukutunzia siku ukihitaji anakuletea kummaliza adui yako. Na hiyo ndio Iran anaweza fanya na North Korea, Russia au China na hakuna kitu US atafanya maana hao ni wababe wake.
Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako!!
 
Mikataba ipi? Mbona ufaransa imesaini mkataba na Denmark kuwa ikivamiwa na kuhitaji nuclear basi inapewa na ufaransa.

Hapo sijaongelea mkataba wa saudia na Pakistan kwamba Saudi Arabia ikivamiwa basi wanawasaidia nuclear na hapa tunavyoongea tayari askari wa pakistan walishaendaga Saudi Arabia na kuwa tayari kwa orders zozote za kutumia nuclear kama Iran ingeitishia kuiteketeza saudi Arabia.

Na sitaki kuongelea nchi ngapi zina mkataba wa hivyo kwa China na Russia. Hivyo nuclear kwa sasa sio mpaka utengeneze mwenyewe, unampa tu pesa mshirika wako anakutengenezea na kukutunzia siku ukihitaji anakuletea kummaliza adui yako. Na hiyo ndio Iran anaweza fanya na North Korea, Russia au China na hakuna kitu US atafanya maana hao ni wababe wake.
Hizo habari umesoma bila kuzielewa. Siyo kweli kwamba Pakistan ana mikataba WA kumpa nukes Msaudi ila ana mikataba wa nukes umbrella pale Saudia ikishambuliwa na Nukes.
Kumbuka Saudi Arabia na Pakistan Wana mkataba WA kijeshi ambao haujaanza Leo.
Kuhusu Denmark wewe huoni kwamba ni mwanachama WA NATO? So akipigwa nukes na Russia unadhani wanachama wengine wataangalia tu?
 
Unadhani kama Marekani hakuijua Iran Obama asingesain angewafanyia kama Libya. Wanaijua in and out ndo maana wamechanga karata zao safari hii.
Sio kweli, media ya uhakika kabisa ya US wenyewe wanasema vyombo vya usalama vya US vili underestimate uwezo wa Iran na walitarajia ingekua vita nyepesi so sio kweli ilikua calculated move. Mfano hawakujua kama iran ingefunga Hormuz it was a suprise.
unataka Marekani afanye kufuru ya bombings aue raia wote ndo mjue ana nguvu? Wenzako wanaangalia Pandey zote biashara Human rights n.k.
Acha uongo US na Israel pekee wamefanya kufuru ya mabomu maana wameshalipua zaidi ya mabomu mazito elfu 30 ndani ya miezi 2 hivi ya mapigano. Na wameshaua raia maelfu kwa maelfu alafu unaongelea human rights. Basically uzito wa milipuko iliyoangushwa Iran ni kilogram nyingi tokea World War 2!! Alafu unasema walihurumiwa?

Wamelipua mpaka shule ya mabinti na kuua zaidi ya 200 then you talk about human rights? Ni vile tu walidhani mabomu yangetosha kusambaratisha serikali ila haikufanikiwa.

Kasome kuhusu US kutumia ndege kufanya genocide ya Malaki ya watu Philipines (Battle of Manila 1945), Cambodia (khmer rouge, Vietnam na East Timor. USA haijawahi kuangalia human rights bali maslahi yake pekee.

Cambodia Genocide
 
Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako!!
We darasa la saba hunaga level za ku debate na mimi, kabishane na mbumbumbu wenzako huko Facebook. Jitu limewekewa mpaka link ya huo mkataba bado unaleta ubishi tu na ujuaji.
 
We darasa la saba hunaga level za ku debate na mimi, kabishane na mbumbumbu wenzako huko Facebook. Jitu limewekewa mpaka link ya huo mkataba bado unaleta ubishi tu na ujuaji.
Link Uchwara hizo kawadanganye wajinga wenzako!!
 
Hizo habari umesoma bila kuzielewa. Siyo kweli kwamba Pakistan ana mikataba WA kumpa nukes Msaudi ila ana mikataba wa nukes umbrella pale Saudia ikishambuliwa na Nukes.
Kumbuka Saudi Arabia na Pakistan Wana mkataba WA kijeshi ambao haujaanza Leo.
Kuhusu Denmark wewe huoni kwamba ni mwanachama WA NATO? So akipigwa nukes na Russia unadhani wanachama wengine wataangalia tu?
Usichanganye mambo, sio nuclear umbrella tu ila wanakua na mutual pact ya kusaidia nukes pale ambapo mmoja anakua kwenye existential threat ambayo sio tu mpaka urushiwe nuclear bali hata uvamizi tu wa kuteketeza taifa.
mfano Pakistan ilipewa nuclear na China kabisa. Maana yake sio lazima
Scientist: China gave Pakistan nuke blueprint

Mfano kwenye huu mkataba hizo ndege zenye nuclear bombs zitapelekwa kwenye nchi wanachama.

In March, Macron unveiled a program under which France, the European Union's only nuclear-armed country, would use its atomic stockpile to boost security on the continent. Under the so-called "forward" nuclear deterrence scheme, those who join will be able to temporarily host French "strategic air forces," which will be able to "spread out across the European continent" to "complicate the calculations of our adversaries," Macron said at the time.

Meaning physically nuclear bombs zitakua kwa nchi wanachama sasa na hiyo ndio nuclear deterrence na sio mpaka ushambuliwe ila Russia itaogopa kuvamia maana inajua una nuclear bombs tayari kabisa kuzishusha Moscow.
 
Mkubwa mwenzake mtu kafyeka top leaders wako kakutia hasara ya $300b afu unasema wako sawa, mtu anatumia aircraft carrier na submarine kukubonda, anakupiga naval blockade na unaatulia
Mkuu jitahidi watu wasijue kwamba wewe ni mjinga..... Jitihada zako zielekeze kwenye ukimya
 
Back
Top Bottom