Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

Marekani atafanyia hilo kazi kimya kimya, Utawala lazima uondolewe. Hata hivyo umeshadhoofisshwa sana, na una hofu
Unajua kua US aliwapa silaha waandamanaji wa Iran? unajua kua kulikua na mamluki wa US na Israel kwenye yale maandamano? wote walikamatwa na silaha zilikamatwa,

Yani Marekani atafanya kimya kimya ila wewe uliyepo huko madongo kuinama unajua? ndio kimya kimya hua inakua inajulikana hivyo sio?

Hiyo comment yako inatakiwa ipelekwe kwenye jukwaa la vichekesho.
 
Marekani kwani ni nani asikamatwe? Na ni kwa nini asijiulize alikamatwaje ili aje kivingine? Muda utaongea
 
Ujinga mtupu unawasumbua Iran Mwanzo alikataa kabisa mazungumzo lakini baada ya Total-Blockade ilibidi asalimu amri maana palikuwa hapapiti kitu bila idhini ya Marekani Iran alikuwa hufanya biashara yoyote ile!!,,

Iran ndiye kasalimu Amri kwa kiranja wa dunia kwa kula matapishi yake kukubali Mashariki ya Marekani pamoja na kujifanya mbabe!!
Mzee wa Uharo naona umerungwa hujui hata unachotetea msome Bashaaa wako Netanyahu hataki mkataba wa Iran na Marekani wewe unausifia😂
BREAKING: NETANYAHU ASEMA HAKUBALIANI NA MKATABA WA TRUMP WA IRAN NA ALIMWAMBIA TRUMP ‘TUNA MASLAHI YETU’

“Mkataba huu ulifanywa na Marekani, na Rais wa Marekani, na anaamini kwamba anaweza kufikia usimamizi na kubomolewa kwa mpango wa nyuklia.

Nilisema: huo ni uamuzi wake. Narudia: huo ni uamuzi wake. Anauongoza.

Bila shaka, nilitoa maoni yangu katika mazungumzo mbalimbali.

Kwa upande mwingine, nilisema kwamba tuna maslahi yetu wenyewe.”

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2066596345561887022?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Yahudi Mweusi wa Kakonko anatoa tamko kwa niaba ya Trump😂
Mzee wa Uharo unaumia sana ukiambiwa ukweli? Mpaka umeamua kuwasemea Wafuga Midevu na Majini wenzako au ukiwa Mwarabu-Koko unakosa akili hata ya kujisimamia wewe mwenyewe?
 
Mzee wa UHARO Tumia akili zako vizuri Aliyekuambia naunga mkono mkataba wa Magumashi Nani?
 
Mzee wa uharo,Yahudi mweusi wa Nzega,Mlokole pori
Tafuta kazi ya kufanya usije ukawapa tabu watu wengine kuja kukulea uzeeni mwako,

Haya matapishi unayo yamwaga humu kila siku hayatakuja kua na msaada kwako.
Mzee wa Uharo kavurugwa hajui hata anachokitetea bwana yake Netanyahu hataki huu mkataba Mzee wa Uharo anakuambia mkataba mzuri😂
 
Marekani kwani ni nani asikamatwe? Na ni kwa nini asijiulize alikamatwaje ili aje kivingine? Muda utaongea
Wakati yeye anajiuliza alikamatwaje ili aje kivingine,na wakamataji nao pia wanapanga wamkamate vipi tena,
Au unafikiri nchi zimelala usingizi?

Ndio maana kuna watu waliingia nadani ya ardhi ya US wakasomea upilot kisha wakaziteka ndege ndani ya ardhi ya US na kufanya ile attack ya 9/11 mpaka Pentagon ilipigwa.
 
Mzee wa Uharo kavurugwa hajui hata anachokitetea bwana yake Netanyahu hataki huu mkataba Mzee wa Uharo anakuambia mkataba mzuri😂
Mzee wa Uharo ananiogopa kama ukoma,hana ujasiri kabisa wa kugusa comment zangu,akiona tu comment zangu hua anaanza kutetemeka hovyo.
 
Mzee wa Uharo unaumia sana ukiambiwa ukweli? Mpaka umeamua kuwasemea Wafuga Midevu na Majini wenzako au ukiwa Mwarabu-Koko unakosa akili hata ya kujisimamia wewe mwenyewe?
Mzee wa Uharo anayeumia ni huyu.

🇮🇱 : Kushindwa kwa kidiplomasia kwa Netanyahu, ambaye alifanya kila kitu kuzuia makubaliano kati ya Marekani na Iran. Kwa kuishambulia Beirut, Netanyahu alitarajia kuchochea kisasi cha Iran na kuzuia makubaliano hayo. Hata hivyo, huko Tehran, walitumia fursa hii kuweka masharti mapya kwa Marekani: kujiondoa kwa Israeli kutoka Lebanon na kuondolewa kwa kizuizi cha majini cha Marekani kwenye bandari za Iran.

Trump, akiwa ameshinikizwa na makubaliano haya, alikubali madai ya Iran. Mtego wa Israeli uliirudia Israeli. Usiku wa leo, Tel Aviv inaonekana imetengwa kabisa Mashariki ya Kati baada ya kushindwa kupindua utawala wa Iran licha ya nguvu za Marekani. Mustakabali wa kisiasa wa Netanyahu tayari umekwisha.

Wewe endelea kuogopa ndevu😂

View: https://x.com/infosminutesfr/status/2066289747732156925?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mzee wa UHARO Tumia akili zako vizuri Aliyekuambia naunga mkono mkataba wa Magumashi Nani?
Mzee wa Uharo hajui anachotetea umesema kuwa Iran amafuata masharti ya Marekani baada ya kizuizi baada kukuletea habari za bwana yako Netanyahu kuwa analalamika na wewe umebadilika😂
 
Mzew wa Uharo hajui anachotetea umesema kuwa Iran amafuata masharti ya Marekani baada ya kizuizi baada kukuletea habari za bwana yako Netanyahu kuwa analalamika na wewe umebadilika😂
Hivi kwa nini ukiwa Mwislamu lazima uwe muongo muongo Sana? Wapi nilipounga mkono mkataba wa Magumashi?
 
Ujinga mtupu unawasumbua Iran Mwanzo alikataa kabisa mazungumzo lakini baada ya Total-Blockade ilibidi asalimu amri maana palikuwa hapapiti kitu bila idhini ya Marekani Iran alikuwa hufanya biashara yoyote ile!!,,

Iran ndiye kasalimu Amri kwa kiranja wa dunia kwa kula matapishi yake kukubali Mashariki ya Marekani pamoja na kujifanya mbabe!!
Mzee wa Uharo jisome hapa.

Unasema Iran kasalimi amri baada ya Total blockade😂

Umesema Iran kasalimu amri wakati bwana yako Netanyahu kasema Iran ni tishio kwenye huu mkataba unamnufaisha.

Msome bashaa wako mwingine huyu😂

Trump 🇺🇸 anadharauliwa na Israeli 🇮🇱 😂😂😂😂😂😂

Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Ben Gvir alisema kwamba Israeli 🇮🇱 haichukui maagizo kutoka Marekani 🇺🇸

Aliendelea kusema MoU haifungi Israeli 🇮🇱 na wanaweza kufanya wanavyoona inafaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View: https://x.com/andzace/status/2066498275197223105?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kisha unasema Iran kasalimu amri sasa hawa mabwana zako wanalalamika nini Mzee wa Uharo kwa faida ya JF tufahamishe😂
 
Copy & Paste
 
Turkiye yakaribisha makubaliano kati ya Iran na Marekani, yahimiza maendeleo katika mazungumzo ya siku zijazo
——
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan alimwambia mwenzake wa Iran, Abbas Araghchi, wakati wa mazungumzo ya simu Jumatatu, kwamba Ankara inatumai mazungumzo ya siku zijazo kati ya Iran na Marekani yatatoa matokeo chanya kufuatia makubaliano yaliyofikiwa, kulingana na chanzo cha kidiplomasia cha Uturuki kwa Reuters.

Wakati wa mazungumzo hayo, Fidan pia alionya dhidi ya "uchochezi" ambao unaweza kudhoofisha makubaliano hayo na kuthibitisha tena kujitolea kwa Turkiye kuunga mkono mipango inayolenga kukuza amani na utulivu katika eneo hilo, chanzo hicho kilisema. Araghchi, kwa upande wake, alitoa shukrani kwa Turkiye kwa jukumu na juhudi zake katika mchakato mzima wa mazungumzo, chanzo hicho kiliongeza.
 
Kuna pimbi mmoja humu Mzee wa Uharo anakuambia Iran kasalimu amri.

Trump anatoa dola bilioni 300 kwa Iran. Hii inaweza kulipia:

— Kuondolewa kwa deni la wanafunzi kwa Wamarekani milioni 7.6
— Kukomesha ukosefu wa makazi nchini Marekani
— Ruzuku za huduma ya afya kwa Wamarekani milioni 22 kwa karibu muongo mmoja
— Bima ya Medicaid kwa Wamarekani milioni 3.2 kwa muongo mmoja
— Msaada wa chakula kwa Wamarekani milioni 41 kwa miaka 3
— Utafiti wa saratani ya shirikisho kwa miaka 40+
— Chakula cha mchana cha shule bila malipo kwa kila mtoto nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 4
— Kubadilisha kila bomba la risasi nchini Marekani
— Pre-K ya bure kwa kila mtoto nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 7

View: https://x.com/hqnewsnow/status/2066621776851820912?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom