Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Akitoka huko kwenye kuvamia alafu raia wake wakasota kulingana na vikwazo utashuhudia maandamano makali,
Kusota ni pande zote 2 acha mziki wa kukosa gesi waanze kuupata huko ulaya hasa ukija msimu wa baridi na kumbuka ukraine pia alikua anailisha ulaya magharibi kwa asilimia kubwa......hio inflation haitaiacha serikali yeyote salama huko
 
Sio waweke vikwazo waende kumsaidia ndugu yao Ukraine😀😀😀km namuona brother kiduku akipasha
Ekrain si ndugu na hao, ni ndugu na russia. Kupigwa au kutopigwa kwa ukrain hakuna madhara ya moja kwa moja kwa uingereza au usa ila na hivi vikwazo anayeumia ni russia maana anapigana na kuwapa sababu maadui zake wasiopigana naye sababu ya kumpa vikwazo.

Ni kama vile una audi yako halafu unamgombanisha na ndugu yake wapigane halafu wakiwa wanapigana unambembeleza mdogo mtu na kumwambia usikubali huku ukitaka marafiki zako wampe silaha na wamuadhibu kaka mtu sababu ni mkorofi. Ndicho anachofanya USA
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1258][emoji635] US intelligence agencies offer Biden options for a "large-scale cyber attack" against Russia - NBC
 
#BIG:[emoji599] Russia ready to negotiate Ukraine's surrender: Kremlin

#RussiaUkraineConflict
 
Mmarekani, yeye alipowavamia wengine alijiona sahihi, kweli mwenye nguvu mpishe.. Siungi mkono swala la vita, najua madhara yake hasa sisi huku kwetu kajamba nani,katika picha nawaonea huruma watu wanaoumia, mali zao zinazoharibika, lakini Amerika angekuwa anayajua haya asingeweza kuvamia aliowavamia na kuwaachia makovu lukuki huko..

Itakuwa vema kama hili suala likamalizwa mezani.
 
Vita Haina macho,Ukraine nayo wamo japo hawataweza kuishinda Urusi. Tayari wamedungua ndege 6 za kijeshi za Urusi na kuua wanajeshi 50 wa Urusi mpaka Sasa. Hii si haba.
Screenshot_20220224-212820.jpg
 
Back
Top Bottom