Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Sababu za vita hazijuii, Ila kaamua kusimamia na Ukraine, USA na NATO walivamia Libya wa Africa wote kimya, Russia anafanya yake, mtu yupo kibondo huko nasimama na Ukraine 😂😂😂😂
Wewe uko kwenu buchosa au kibondo huko unasimama na ukraine kwani wanakujua wewe kula ugali wako ulale
 
JUST IN - German Defense Minister Lambrecht fears #Putin is no longer afraid of attacking NATO partners.

Lambrecht: "He is not predictable at all right now."
 
Watanzania hasa wa mids 90+ wanachangia kwa ushabiki wa Simba na Yanga. Hizi sanction zinazowekwa na USA na Ueropean sio nzuri hata kidogo na impact yake inaenda kuwaumiza warusi hasa wafanyabiashara. Benki kubwa mbili ama tatu zimepigwa ban kampuni kubwa ya mafuta ya Gazpro imepigwa ban huyu mmiliki wa Chelsea tayari wanamtengenezea zengwe apigwe chini na kufungiwa akaunti zake. China haiwezi kuwa msaada wa kuendesha uchumi wa Mrussian hii inaenda kuleta damage kubwa sana kwa Puttin na utawala wake. Haya makelele yanaenda kuungusha utawala wake. Hii vita kaikosea sana.
North Korea kawekewa vikwazo na bado yupo, Iran piaa, we unazani Russia hawakufanya analysis kabla ya kuingia vitani, yaani wewe mtu wa mchambawima ukawe na akili kubwa kushinda wasomi wa Russia, wasijue impact ya wanachokifanya na jinsi ya kusolve.

Kwahiyo USA na NATO kuingamiza Libya ilikua sawaa, Nani aliwawekea vikwazo,?

JF Kennedy akiwa Rais wa USA, Russia walitaka kuweka vifaa vyao Cuba pale Marekani Ali react vipiii,? During the Cold War erra?? AU kwasababu mpo brainwashed na Western Media's ndo mnaona kilakitu West ndo wapo sahihi au Wana nguvu sanaaa?? Think!
 
Angalia bajeti ya jeshi la Marekani na Russia. Unapozungumzia USA achana nao kbs hao watu siku wakisema kiive wote hatutokuwa salama. Kwenye suala la kijeshi Russia anasubiri tena sana kwa USA. Uzuri wa Marekani ukimchokoza anakutimbia karibu na kwako ndio anakupa dozi kwa ukubwa wa ugonjwa wako.
Bajeti ya Russia ya Jeshi unaijua vipii?? Kama Bajeti ya Jeshi ya Tanzania Ni private na haijadiliwi bungeni what about Russia, mbona unadanganyika kirahisi hivo kisa Western Media's zinasema hivoo, Tumia akili kufikiriaa
 
Bajeti ya Russia ya Jeshi unaijua vipii?? Kama Bajeti ya Jeshi ya Tanzania Ni private na haijadiliwi bungeni what about Russia, mbona unadanganyika kirahisi hivo kisa Western Media's zinasema hivoo, Tumia akili kufikiriaa
Unadhani wenzetu wanasiri za kishamba kama huku kupitisha wizi. Ingia kwenye mitandao ya kujielimisha kuna kipindi the Economist walitoa bajeti ya majeshi ikijuisha na vifaa USA wapo mbali.sana kama ubongo wako unawaza Sinema Zetu na magazeti ya udaku utapotea.
 
Unadhani wenzetu wanasiri za kishamba kama huku kupitisha wizi. Ingia kwenye mitandao ya kujielimisha kuna kipindi the Economist walitoa bajeti ya majeshi ikijuisha na vifaa USA wapo mbali.sana kama ubongo wako unawaza Sinema Zetu na magazeti ya udaku utapotea.
Pesa muhimu ila vita sio pesa tu............
 
Uwezo wako wa kufikiri umefikia hapa basi kuna kazi. Unaposema vita sio pèsa unamaanisha nini?
Unaweza ukawa na pesa ukachapwa pia na bajeti yako hio ndefu.....inategemea unaenda kupigana na nani
 
Kama walimuwekea vikwazo Magufuli na Makonda alafu Tanzania ikaingia uchumi wa kati watamuweza Putin?
Nitajie vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa Tanzania.

Eti uchumi wa kati yaani kichekesho cha karne hiki. Kipi kimebadilika kwa Watanzania katika awamu hiyo ya uchumi wa kati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
[emoji26][emoji26] wazungu ni [emoji706][emoji706]
20220226_114025.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom