Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Suala la gesi,limekaaje kwa huko Ulaya,tofauti na Russia je kuna suppliers wengine wakubwa..?Wapuuzi hawa wanajua kabisa vikwazo vinaathiri dunia nzima
Leo London mafuta ya gari yameishapanda na bahati jana nilijaza ila yataisha na hayo yanasubiri
Msifurahie sana Sanctions maana hata nyie nyumbani yanakuja lazima msifikiri mko mbali au mmejifungia na maisha yenu
Wote tutaimba wimbo mmoja tu awe mweupe, mweusi na hata njano