STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
[emoji632][emoji298]️No one in Europe and the US wants to go to war with Russia - French Defense Minister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi.
Nikianza na marekani:
Whitehouse
PRESIDENT BIDEN
IMPOSES SEVERE COSTS ON RUSSIA FOR ITS INVASION OF UKRAINE
FEBRUARY 22, 2022
Full blocking sanctions on two large Russian financial institutions with close links to the Kremlin
Cutting Russia off from U.S. dollar financing
Full blocking sanctions on five Russian elites and their family members
Worked with Germany to ensure Nord Stream 2 will not move forwarforward.
View attachment 2129973
Wingereza nayo:
The UK Prime Minister has announced sanctions
On:
The following Russian banks: Rossiya, IS Bank, General Bank, Promsvyazbank and the Black Sea Bank.
Three very high net worth individuals: Gennady Timchenko, Boris Rotenberg and Igor Rotenberg.
Any assets they hold in the UK will be frozen, the individuals concerned will be banned from travelling to the UK, and we will prohibit all UK individuals and entities from having any dealings with them.
View attachment 2129975
Vipi Tanzania hatuna namna ya kuwawekea vikwazo Urusi zaidi ya kuwaunga mkono
Mkuu Hakuna mafuta ya gari je kama gari zao zinatumia mafuta ya kula weka details ni aina gani ya mafuta na je ni crude oil, gasoline, dieselWapuuzi hawa wanajua kabisa vikwazo vinaathiri dunia nzima
Leo London mafuta ya gari yameishapanda na bahati jana nilijaza ila yataisha na hayo yanasubiri
Msifurahie sana Sanctions maana hata nyie nyumbani yanakuja lazima msifikiri mko mbali au mmejifungia na maisha yenu
Wote tutaimba wimbo mmoja tu awe mweupe, mweusi na hata njano
Hii kumtoa katika mfumo wa kibenk wamekataa, hasa ujerumani kakataa kabisa anasema hatuwezi kumtoa ktk mfumo wa kibenk
Ntasimama na VVP Vladimir vladirmovich putinThe US still gets oil and gas from Russia
Hataki Ukraine awe member wa NATO halafu kachukizwa na kitendo cha NATO kupeleka majeshi yake mpakani mwa Russia na Ukraine. Mpuuzi sana ila ndio anaizanisha hivyo Russia kiuchumi. Kashapigwa ban za nguvu sana yeye acha aue watu kwa mabomu lakini USA na EU na Britain wanamuua kiuchumi.Limenikera sana hilo jamaa na vita isiyo na kichwa wala miguu. Sababu hasa za kuivamia Ukraine ni zipi? We stand with Ukraine.
Hii inaitwa ngoja tuone mpaka puttin kaaamua kwenda front Kuna kitu anajiamini kwanini kila siku marekani bwana ngoja atishiwe na yeye "unaambiwa ukikutana mbwa anakukimbiza inama jifanye unaokota mchanga umwagie uenda akaogopa akaondoka"Watanzania hasa wa mids 90+ wanachangia kwa ushabiki wa Simba na Yanga. Hizi sanction zinazowekwa na USA na Ueropean sio nzuri hata kidogo na impact yake inaenda kuwaumiza warusi hasa wafanyabiashara. Benki kubwa mbili ama tatu zimepigwa ban kampuni kubwa ya mafuta ya Gazpro imepigwa ban huyu mmiliki wa Chelsea tayari wanamtengenezea zengwe apigwe chini na kufungiwa akaunti zake. China haiwezi kuwa msaada wa kuendesha uchumi wa Mrussian hii inaenda kuleta damage kubwa sana kwa Puttin na utawala wake. Haya makelele yanaenda kuungusha utawala wake. Hii vita kaikosea sana.
Angalia bajeti ya jeshi la Marekani na Russia. Unapozungumzia USA achana nao kbs hao watu siku wakisema kiive wote hatutokuwa salama. Kwenye suala la kijeshi Russia anasubiri tena sana kwa USA. Uzuri wa Marekani ukimchokoza anakutimbia karibu na kwako ndio anakupa dozi kwa ukubwa wa ugonjwa wako.Hii inaitwa ngoja tuone mpaka puttin kaaamua kwenda front Kuna kitu anajiamini kwaninikila siku marekani bwana koja atishiwe na yeye "unaambiwa ukikutana mbwa anakukimbiza inama jifanye unaokota mchanga umwagie uenda akaogopa akaondoka"
Tunafahamu Sana Kama USA wapo sawasawa "Ila ukipewa koti livae vizuri hata Kama linakupwaya usiligeshe begani" hicho ndicho anachojaribu kukifanya puttin ifike mahala Kama nawe unanguvu ionyeshe usihofie kuwa Fulani ananguvu kunizidi.Angalia bajeti ya jeshi la Marekani na Russia. Unapozungumzia USA achana nao kbs hao watu siku wakisema kiive wote hatutokuwa salama. Kwenye suala la kijeshi Russia anasubiri tena sana kwa USA. Uzuri wa Marekani ukimchokoza anakutimbia karibu na kwako ndio anakupa dozi kwa ukubwa wa ugonjwa wako.
hukuwah kulaani uchafu wa marekani hata siku moja kachori wewe... naam heri kulaani kuliko wewe unayeshangilia kutokea Kyabakari; walaaniwe wanaomwaga damu za wasio na hatia.
marekani gani hiyo iliyochapwa na iran ama?Angalia bajeti ya jeshi la Marekani na Russia. Unapozungumzia USA achana nao kbs hao watu siku wakisema kiive wote hatutokuwa salama. Kwenye suala la kijeshi Russia anasubiri tena sana kwa USA. Uzuri wa Marekani ukimchokoza anakutimbia karibu na kwako ndio anakupa dozi kwa ukubwa wa ugonjwa wako.
Kwa hiyo unataka kujionyesha una nguvu huku unaangamiza familia yako. Hii vita italeta upinzani mkali sana ndani ya Russia. Unajua hizo benki kubwa zilizofungiwa zinapata loss kiasi gani?Tunafahamu Sana Kama USA wapo sawasawa "Ila ukipewa koti livae vizuri hata Kama linakupwaya usiligeshe begani" hicho ndicho anachojaribu kukifanya puttin ifike mahala Kama nawe unanguvu ionyeshe usihofie kuwa Fulani ananguvu kunizidi.
Unaionyesha kwa kuua ndugu zako. Nadhani tunahitaji tishio la viumbe kutoka sayari nyingine ili tukumbuke kuwa sisi ni wana wa dunia.Tunafahamu Sana Kama USA wapo sawasawa "Ila ukipewa koti livae vizuri hata Kama linakupwaya usiligeshe begani" hicho ndicho anachojaribu kukifanya puttin ifike mahala Kama nawe unanguvu ionyeshe usihofie kuwa Fulani ananguvu kunizidi.
Kama USA ilishachapwa na Iran sawa ibaki hivyo hivyo.marekani gani hiyo iliyochapwa na iran ama?
Akiwemo bwana wako Israel... naam heri kulaani kuliko wewe unayeshangilia kutokea Kyabakari; walaaniwe wanaomwaga damu za wasio na hatia.
Hizo croatia, na hungary na nchi nyingiUsisahau nusu ya Ulaya gas inatoka Russia ambayo ni cheap ndio sababu kwa nini ujerumani haiingii kwa nguvu.
Ukiiwekea vikwazo Russia ni kama umeiipiga vikwazo Ulaya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Croatia na Hungary zimeshasema vita haiwahusu wataendelea kushirikiana na Urusi kama kawaida.
Ufaransa anakumbuka maumivu ya kugeukwa na Marekani kwenye mradi wao wa submarine na Marekani na Uingereza kuhusu Australia yupo neutral.
nchi nyingi za iliyokuwa yugoslavia, zina muunga mkono putin, kwani zinamtegemea sana, tofauti na nchi za baltics ambazo ziko NATO!! Ni sawa ujerumani anategemea gesi kutoka Urusi, lakini lazima ipitie ukraine!!na ndio maana ujenzi wa NORDIC STREAM 2, mradi wenye thamani ya $ 11billions, ujerumani wameusitisha!!Usisahau nusu ya Ulaya gas inatoka Russia ambayo ni cheap ndio sababu kwa nini ujerumani haiingii kwa nguvu.
Ukiiwekea vikwazo Russia ni kama umeiipiga vikwazo Ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Croatia na Hungary zimeshasema vita haiwahusu wataendelea kushirikiana na Urusi kama kawaida.
Ufaransa anakumbuka maumivu ya kugeukwa na Marekani kwenye mradi wao wa submarine na Marekani na Uingereza kuhusu Australia yupo neutral.