Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Mimi nilifikiria US na NATO wangekuwa wangetia mguu Ukraine kuipiga Russia sasa wameishia kubweka eti wanaiwekea vikwazo vikali Russia??
Wewe unafikiri Russia ameamua kuipiga Ukraine bila kujua itawekewa vikwazo??
Imagine !? Kuna watu uwezo wao wa kufikiri ni size ya kimo Cha zakayo [emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo wanadhani putin wakati anapanga mipango ya kuivamia Ukraine alikua hajui kuna vikwazo? Walipoamkia leo mwenzao alilala jana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wapuuzi hawa wanajua kabisa vikwazo vinaathiri dunia nzima
Leo London mafuta ya gari yameishapanda na bahati jana nilijaza ila yataisha na hayo yanasubiri

Msifurahie sana Sanctions maana hata nyie nyumbani yanakuja lazima msifikiri mko mbali au mmejifungia na maisha yenu

Wote tutaimba wimbo mmoja tu awe mweupe, mweusi na hata njano
Absolutely true [emoji457]
 
Usisahau nusu ya Ulaya gas inatoka Russia ambayo ni cheap ndio sababu kwa nini ujerumani haiingii kwa nguvu.

Ukiiwekea vikwazo Russia ni kama umeiipiga vikwazo Ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Croatia na Hungary zimeshasema vita haiwahusu wataendelea kushirikiana na Urusi kama kawaida.

Ufaransa anakumbuka maumivu ya kugeukwa na Marekani kwenye mradi wao wa submarine na Marekani na Uingereza kuhusu Australia yupo neutral.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa shabiki anaona kushangilia uvamizi wa urusi ni sahihi. Maneno kama hayo ya kishabiki huwezi kumwambia Monalisa akakuelewa. Urusi unakwenda kuwa Zimbambwe mapema tu. Wanaoshanikia hawakumbiki Urusi ilivyogeuka Taifa Machinga Kwa kuuza silaha za magendo Kwa Waasi na kuwaibua matajiri wa silaha kina Roman Ibrahimovic. Atarudi katika Hali yake na akimtegemea China huku uchumi wake ukitegemea gesi na Mafuta ambayo bomba linapita Ujerimani na US ameshampiga mkwara Ujerimani asipitishe kitu imemkata.
Urusi awe Zimbabwe, hivi wewe una akili timamu kweli !? [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Limenikera sana hilo jamaa na vita isiyo na kichwa wala miguu. Sababu hasa za kuivamia Ukraine ni zipi? We stand with Ukraine.
Unasimama nae ukiwa pande gani, inabid uje Kiev hapa tupambane
 
Kwa shabiki anaona kushangilia uvamizi wa urusi ni sahihi. Maneno kama hayo ya kishabiki huwezi kumwambia Monalisa akakuelewa. Urusi unakwenda kuwa Zimbambwe mapema tu. Wanaoshanikia hawakumbiki Urusi ilivyogeuka Taifa Machinga Kwa kuuza silaha za magendo Kwa Waasi na kuwaibua matajiri wa silaha kina Roman Ibrahimovic. Atarudi katika Hali yake na akimtegemea China huku uchumi wake ukitegemea gesi na Mafuta ambayo bomba linapita Ujerimani na US ameshampiga mkwara Ujerimani asipitishe kitu imemkata.
Tungekuwa tunaongea na kufanya hivi hivi kwa Iraq,Afghanistan, Libya dunia ingekuwa sehemu salama kweli tatizo unafiki mwingi, tunachagua wa kumwekea vikwazo.Saudi kampiga Yemen hajawekea vikwazo, US ndio anadunda pamoja na kuua mamilioni ya watu hajawekewa vikwazo.
 
Russia says they already have a substitution for import of semiconductors — sanction the west praised the most
 
They are clearly already prepared for any sanction they could face, they wouldn't have invaded if sanctions would bring them down
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
Acha kutoa hoja kama umeishia la 7B marekani anaweza kukubali urus kuweka kambi Cuba au Mexico au el Salvador ni ujinga kuiona urusi iko Sawa na nchi yako kwamba mmefanana marekani ndyo huleta ili chokochoko miaka yote urusi hajawai ivamia icholi yoyote bila chokochoko za marekani kuanzia Georgia Hadi Leo Ukrein yote sababu yake
Ukraine wapumbavu sana acha wapigwe kwa ujinga wao.

Hivi kweli Zanzibar inaweza kuiruhusu nchi yenye uhasama na Tanganyika kuweka base yake hapo?
 
Back
Top Bottom