STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Kwani nyinyi si mlikua mnasifia upuuzi humu?? Sasa taari huko mwanaume kashafanya yakeUrusi soon anakuwa Zimbabwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyinyi si mlikua mnasifia upuuzi humu?? Sasa taari huko mwanaume kashafanya yakeUrusi soon anakuwa Zimbabwe
Achana nae mgonjwa wa akili huyoTanzania haijawahi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi. Ni makonda alizuia kuingia marekani. Fikiria hatuna vikwazo lakini tozo kwenda mbele, siku marekani pekee akituwekea vikwazo wewe mwenyewe utaona mabadiriko.
Abrahamovich ana passport ya Israel. Kwa hiyo akiwa UK anahesabika ni Mu-Israel na siyo Mrusi. Chelsea ipo na Abrahamovich yupo yupo sana mitaa ya MyfairChelsea FC yangu ndiyo ileeee....daaah!
Abrahamovich ndiyo kwishne tena kuidhamini Chelsea [emoji849][emoji2960]
... kupambana na magaidi na wafadhili wao.Sababu ya kuvamiwa libya na iraq ni ipi?
... atatiwa adabu yeye.Kwa hiyo tuwaache akati mnaleta uduwanzi? Unadhanj Putin hana akili? Labda hufuatiliagi haya mambo ngoja mtu atiwe makofi ili awe na adabu
... naam heri kulaani kuliko wewe unayeshangilia kutokea Kyabakari; walaaniwe wanaomwaga damu za wasio na hatia.Unalaani Russia ukiwa Nyankumbu, Mara
... wanayotenda Russia huko Ukraine ndio mema kwako? Utakuwa na matatizo.we stand nanani acha kutu standisha kwamambo yakipuuzi
sisi tupo na MOSCOW watenda mema
... no matter how weak you are; hata kama huna uwezo wa kufanya chochote, simama pamoja na haki. Putin ni dikteta.Wewe uko kwenu buchosa au kibondo huko unasimama na ukraine kwani wanakujua wewe kula ugali wako ulale
Unadhani wewe unaakili sana kuliko russia?Kwa hili Putin na Eukraine hawajatumia akili. Mnapigana kwa ajili ya NATO wakati nyie ni jirani na kihistoria mlikuwa nchi moja?
Sasa hapo raia wa russia watalia maumivu ya sanction, raia wa Ukraine watalia maumivu ya mabomu halafu raia wa USA na washirika wake watalia nn?
Puttin ana option mbili tu, kumwita mwenzake wayamalize au kumpiga asifiwe na china na wa russia wenzake wa huku JF huku raia wa USA na washirika wakiangalia mnavyotinduana na kuumiza uchumi wenu.
Kwa shabiki anaona kushangilia uvamizi wa urusi ni sahihi. Maneno kama hayo ya kishabiki huwezi kumwambia Monalisa akakuelewa. Urusi unakwenda kuwa Zimbambwe mapema tu. Wanaoshanikia hawakumbiki Urusi ilivyogeuka Taifa Machinga Kwa kuuza silaha za magendo Kwa Waasi na kuwaibua matajiri wa silaha kina Roman Ibrahimovic. Atarudi katika Hali yake na akimtegemea China huku uchumi wake ukitegemea gesi na Mafuta ambayo bomba linapita Ujerimani na US ameshampiga mkwara Ujerimani asipitishe kitu imemkata.Urusi soon anakuwa Zimbabwe
Bado nchi za Ulaya magharibi zitaathirika kiuchumi sababu Ukraine analisha dunia karibu 28% ya ngano anayouza nnje ya nchi, pia Ulaya magharibi hutumia gesi zaidi ya 43% kwa Russia.Kwa hili Putin na Eukraine hawajatumia akili. Mnapigana kwa ajili ya NATO wakati nyie ni jirani na kihistoria mlikuwa nchi moja?
Sasa hapo raia wa russia watalia maumivu ya sanction, raia wa Ukraine watalia maumivu ya mabomu halafu raia wa USA na washirika wake watalia nn?
Puttin ana option mbili tu, kumwita mwenzake wayamalize au kumpiga asifiwe na china na wa russia wenzake wa huku JF huku raia wa USA na washirika wakiangalia mnavyotinduana na kuumiza uchumi wenu.
Limenikera sana hilo jamaa na vita isiyo na kichwa wala miguu. Sababu hasa za kuivamia Ukraine ni zipi? We stand with Ukraine.
... as a sovereign nation, Ukraine ana haki hiyo. Sababu ya kitoto sana ku-justify vita.Sababu ni Ukraine kutaka kujiunga na nato na hivyo kwa kuwa ni nchi jirani na Russia inaatalisha usalama wake kwa kuruhusu maadui wake kuweka kambi karibu
Huu ndio msingi wa mzozo
Nasikia hata Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuendelea kushikilia ni jambo hilo hilo la usalama
Acha kutoa hoja kama umeishia la 7B marekani anaweza kukubali urus kuweka kambi Cuba au Mexico au el Salvador ni ujinga kuiona urusi iko Sawa na nchi yako kwamba mmefanana marekani ndyo huleta ili chokochoko miaka yote urusi hajawai ivamia icholi yoyote bila chokochoko za marekani kuanzia Georgia Hadi Leo Ukrein yote sababu yake... as a sovereign nation, Ukraine ana haki hiyo. Sababu ya kitoto sana ku-justify vita.
Kwani ww ni mjinga kuliko russia?Unadhani wewe unaakili sana kuliko russia?
Hakunaga mshindi kwenye vita interlacustrine RBado nchi za Ulaya magharibi zitaathirika kiuchumi sababu Ukraine analisha dunia karibu 28% ya ngano anayouza nnje ya nchi, pia Ulaya magharibi hutumia gesi zaidi ya 43% kwa Russia.
Hili janga haliwezi kutuacha salama Africa na nchi zingine duniani kiujumla tokana na hizo nchi magharibi kuathirika kiuchumi sababu ya hizo sanctions.