Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Mimi nilifikiria US na NATO wangekuwa wangetia mguu Ukraine kuipiga Russia sasa wameishia kubweka eti wanaiwekea vikwazo vikali Russia??
Wewe unafikiri Russia ameamua kuipiga Ukraine bila kujua itawekewa vikwazo??
Imagine !? Kuna watu uwezo wao wa kufikiri ni size ya kimo Cha zakayo [emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo wanadhani putin wakati anapanga mipango ya kuivamia Ukraine alikua hajui kuna vikwazo? Walipoamkia leo mwenzao alilala jana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Absolutely true [emoji457]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Urusi awe Zimbabwe, hivi wewe una akili timamu kweli !? [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Limenikera sana hilo jamaa na vita isiyo na kichwa wala miguu. Sababu hasa za kuivamia Ukraine ni zipi? We stand with Ukraine.
Unasimama nae ukiwa pande gani, inabid uje Kiev hapa tupambane
 
Tungekuwa tunaongea na kufanya hivi hivi kwa Iraq,Afghanistan, Libya dunia ingekuwa sehemu salama kweli tatizo unafiki mwingi, tunachagua wa kumwekea vikwazo.Saudi kampiga Yemen hajawekea vikwazo, US ndio anadunda pamoja na kuua mamilioni ya watu hajawekewa vikwazo.
 
Russia says they already have a substitution for import of semiconductors — sanction the west praised the most
 
They are clearly already prepared for any sanction they could face, they wouldn't have invaded if sanctions would bring them down
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
Ukraine wapumbavu sana acha wapigwe kwa ujinga wao.

Hivi kweli Zanzibar inaweza kuiruhusu nchi yenye uhasama na Tanganyika kuweka base yake hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…