Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
103
Reaction score
362
Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen

Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea
≈==============

UK Prime Minister Rishi Sunak said Houthi attacks could not be allowed to stand and Britain had taken "limited, necessary and proportionate action in self-defence."

British and US forces have launched an attack on Houthi targets in Yemen after the Iranian-backed group defied a warning to stop targeting ships in the Red Sea.
Yemeni press agency, SABA reported attacks took place in the capital, Sana'a, and the governorates of Sa'dah, Hodeidah, Taiz, and Dhamar.

Three explosions were heard in the country's capital of Sana'a, according to eyewitnesses.

US officials said the strikes had been carried out by warship-launched Tomahawk missiles, as well as fighter jets and a submarine.

In a statement issued shortly after the attacks, US President Joe Biden said: "These targeted strikes are a clear message that the United States and our partners will not tolerate attacks on our personnel or allow hostile actors to imperil freedom of navigation in one of the world's most critical commercial routes."

Chanzo: Sky News
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=VOVKZFVwo8s
Hao wawili ndiyo wakuu wa njia zote za usafiri wa meli katika bahari. Ukitaka himaya (empire) basi uwe na uwezo wa kuleta nidhamu ya meli kupita bila bughudha za wahuni kama wa Yemen n.k

Bila wao maharamia wengi wangeteka na kufanya dunia huwezi kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Historia kupitia Empire of the Seas inatupa picha kamili umuhimu wa kuwepo mataifa ya kibabe kushurutisha nidhamu na hivyo biashara ziweze kufanyika


View: https://m.youtube.com/watch?v=j1-OxNSjmh0
 
Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
 
Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?

Uingereza ni dola (empire) kongwe iliyotawala dunia kabla ya Marekani kuibuka miaka ya 1940s kuwa na nguvu kijeshi.

Uingereza ilitawala nchi nyingi ikiwemo Yemen, USA n.k na ina jeshi la majini lenye taarifa za kintelejensia za kijeshi za makoloni yake ilizokusanya miaka mingi na kutumika inapobidi, kama sasa dhidi ya Yemen.

Kitengo kimojawapo cha jeshi la Uingereza ni NID intelejensia ya kamandi ya jeshi la majini kilichoundwa 1912 ina hazina tosha ya taarifa za vichochoro, mapango, vilima, milima, mito, jangwa n.k kumpata na kumpiga adui kisawa sawa.

Hivyo vitengo vyao NID na ONI vya mataifa hayo mawili humulika mienendo, mipango na njama za adui ili itapofika haja ya mapambano wanakuwa wameshakukuelewa ndani nje


View: https://m.youtube.com/watch?v=XHjkCqOj8vA
 
Kombora la BGM-109 Tomahawk


Tomahawk long-range, all-weather, jet-powered, subsonic cruise missile that is primarily used by the United States Navy and Royal Navy in ship and submarine-based land-attack operations.
Bandari ya Hodeidah pwani ya Red Sea (bahari nyekundu) Yemen, na mji mkuu wa Sanaa uliopo katikati ya Yemen ni maeneo mojawapo kadhaa yaliyoshambuliwa kwa makombora hatari aina ya tomahawk.

 
Waturuki nao wamesogeza meli zao kivita karibu ya Ghaza:


View: https://youtu.be/szv0oh0XeH0?si=_xxYW_WlRcAFThrE
Hulali bi mdashi. Sasa mnajitafutizia mtemi mwingine wa Maneno yaani Uturuki baada ya mtemi na mbabe wenu Hauth toka Yemen kuanza kubinywa korodani. Jamaa ambao hata mlo mmoja kwao ni ngumu analeta kiburi na kujifanya mjuaji. Kwisha habari yao sasa na wao wanaishi kama panya kama wanavyofanya wenzao HAMAS.
 
Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.

Naona sasa Wamarekani na Waingereza wamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.

Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
 
Naonesha kilinachoendelea tu, msidhani ni madogo haya.
 
Maeneo yaliyopigwa nchini Yemen kuanzia 12 January 2024


Bandari ya Hodeidah pwani ya Red Sea (bahari nyekundu) Yemen, na mji mkuu Sanaa makombora yatua.



N.B
17 December 2023
Maoni ya wanaJF kutoka maktaba:

Hao mgambo na serikali ya Yemen hawana ubavu wa kuzuia meli, ugaidi wao utakomeshwa ndani ya muda mfupi.

Sheria za bahari za kimataifa zinaifanya Yemen na wahuni mambo wa Houthi kujiweka ktk nafasi ya kupata vipigo toka mataifa yenye uwezo wa kuhakikisha sheria za bahari kimataifa zinaheshimiwa.

Muda siyo mfupi US, Denmark n.k vikosi vyao vya majini vitaanza kuwashughulikia kama HAMAS inavyopigwa muda huu.

Tufts University
https://sites.tufts.edu › chapter-six
Chapter 6: Maritime Security, Convention on the Law of the Sea

Maritime security supports an international order that is maintained through rule of law, and relies upon clear regulation of, and adherence to, the ...
 
Nchi ya Singapore nayo yajiunga katika umoja wa kuhakikisha njia ya meli ya Red Sea inapitika


 
Naonesha kilinachoendelea tu, msidhani ni madogo haya.
Kimsingi ni kweli na tukiacha Mahaba na Ushabiki, vita hivyo vya mashariki ya kati sio vizuri kwani wapo wanaopoteza maisha bila sababu na pia kwa "Mankind" sio vizuri kwani tunaenda katika utimilifu wa maandiko. Vinawezekana sio hivi lakini ndio Dalili ya Mvua zenyewe kwani ni lazima dunia igawanyike katika pande mbili yaani mashariki na magharibi na vitapiganwa vita ndipo ule mwisho utawadia.

Umejiandaaje Dada yangu dhidi ya siku ya hukumu ambayo Issa bin Maryam atahukumu ulimwengu? Chaguo lako ni sasa. Amua sasa kumuamini yeye. 😀😃😄😁😆
 
Wameisha zamisha meli ya kimarekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…