Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Mashambulizi kutoka ktk submarines, aircraft carriers na fighter jets ya majeshi ya US na UK yaelekezwa usiku huu mnene kwa vikaragosi vya Iran yaani mgambo wa Houthis Yemen.
View attachment 2869202

View: https://m.youtube.com/watch?v=VIq4NVoAChw

marekani ametumia hadi submarines kupigana na wahouth !? Sasa ziara ya waziri wa mambo ya nje wa marekani huko mashariki ya kati ilikuwa na lengo gani wakati marekani na washirika wake ndio wanazidisha kuupanua mgogoro wa mashariki ya kati? Marekani ni mwoga sana sasa akae mkao wakutulia asubiri majibu makali
 
Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.

Naona sasabWamsrekani na Waingerezanwamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.

Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Shida unachanganya mambo. Hakuna taifa linaloishambulia Yemen kwani ni kanchi kamaskini ka kiarabu ila kufunga kwao shughuli za Baharini ndio kilichosababisha haya.

Juzi nilimsikia Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(PTA) akielezea madhara yanayosababishwa na hao Hauth kwenye uchumi wa Tanzania kwa kuzuia na kushambulia meli zinazopita ukanda huo. Hii ni sawa, waache kushambulia meli za mizigo na kufanya uharamia wa Baharini kwani madhara yake ni makubwa kwenye uchumi wa Duniani.
 
Yemen kisha zamisha meli ya kimarekani chezea Yemen hawa wajinga
 

Attachments

  • IMG-20240112-WA0010.jpg
    IMG-20240112-WA0010.jpg
    10.2 KB · Views: 1
  • IMG-20240112-WA0009.jpg
    IMG-20240112-WA0009.jpg
    15.7 KB · Views: 3
  • IMG-20240112-WA0006.jpg
    IMG-20240112-WA0006.jpg
    9.9 KB · Views: 2
Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen

Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea
≈==============

UK Prime Minister Rishi Sunak said Houthi attacks could not be allowed to stand and Britain had taken "limited, necessary and proportionate action in self-defence."

British and US forces have launched an attack on Houthi targets in Yemen after the Iranian-backed group defied a warning to stop targeting ships in the Red Sea.
Yemeni press agency, SABA reported attacks took place in the capital, Sana'a, and the governorates of Sa'dah, Hodeidah, Taiz, and Dhamar.

Three explosions were heard in the country's capital of Sana'a, according to eyewitnesses.

US officials said the strikes had been carried out by warship-launched Tomahawk missiles, as well as fighter jets and a submarine.

In a statement issued shortly after the attacks, US President Joe Biden said: "These targeted strikes are a clear message that the United States and our partners will not tolerate attacks on our personnel or allow hostile actors to imperil freedom of navigation in one of the world's most critical commercial routes."

Chanzo: Sky News
Wakawashambulie na warusi kama wanaume maana wanaingamiza Ukraine
 
huo ndo uthibitisho wako kua meli imelipuliwa/imezamishwa?
umeenda mtandaoni kuokota picha ya mwezi Desemba 2023 una kuja kuihusisha na tukio ilo lililo tokea leo? kijana una akili kweli wewe??
 

Attachments

  • Screenshot_20240112-061903_Chrome.jpg
    Screenshot_20240112-061903_Chrome.jpg
    190.1 KB · Views: 2
third world war itatokea kabla ya mwaka 2030
Tangu 1990 ikitokea hata mvua ikanyesha sana na kusababisha mafuriko watu wanakimbilia kusema third world war inakuja. Ikaja vita ya Ghuba, watu wakadai third world war, September 11 US aliposhambuliwa watu wakadai third war. Wanafunzi wa Tambaza walipokua wakifanya vurugu miaka ile, watu wakadai third war inakuja.

Yakaja ya Ukraine na Russia, Israel na Hezbollah, Israel na Hamas, Syria kote huko watu mnakimbilia kudai World war inakuja.

Hii imeshakuwa chiboko sasa, leo hii wanashambuliwa maharamia na migambo ya Houth mnadai lazima World War ije!! Ikiwa Russia kaingizwa vitani jumla jumla hata kutishia kutumia nuclear lakini mpaka sasa nchi pekee inayoonekana kuwa naye bega kwa bega ni Belarusi pekee, ingawa hata yenyewe haijapeleka wanajeshi sasa leo ndiyo iwe hicho kikundi cha Houth? Russia na ukubwa wake, na 'ushawishi' kaishia kuungwa mkono kwa katuni za kuchorwa tu,na kashindwa kusababisha third world war, ndiyo leo ikaanzie na houth?
 
Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.

Naona sasabWamsrekani na Waingerezanwamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.

Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Jipe moyo ni tiba ya stress ewe kikongwe
 
Ngumu sana kuzamisha aircraft carrier, ina ulinzi kuzidi nchi. Ni kisiwa kinachoelea kikilindwa kwa nguvu zote. Sababu 5 kwa uchache ktk nyingi kuelezea ulinzi mkali usioweza kupenya kukaribia msafara wa aircraft carrier ni hizi :


View: https://m.youtube.com/watch?v=hB-SbqZCQAc
Haya we kaa mkao wa kula usubiri habari kutoka America wakikiri wamezamishiwa meli yao
 
marekani ametumia hadi submarines kupigana na wahouth !? Sasa ziara ya waziri wa mambo ya nje wa marekani huko mashariki ya kati ilikuwa na lengo gani wakati marekani na washirika wake ndio wanazidisha kuupanua mgogoro wa mashariki ya kati? Marekani ni mwoga sana sasa akae mkao wakutulia asubiri majibu makali
Hiyo ziara alilenga kuongea na magaidi ya Houthi?
Tulieni
 
Back
Top Bottom