Uingereza ni dola (empire) kongwe iliyotawala dunia kabla ya Marekani kuibuka miaka ya 1940s kuwa na nguvu kijeshi.
Uingereza ilitawala nchi nyingi ikiwemo Yemen, USA n.k na ina jeshi la majini lenye taarifa za kintelejensia za kijeshi za makoloni yake ilizokusanya miaka mingi na kutumika inapobidi, kama sasa dhidi ya Yemen.
Kitengo kimojawapo cha jeshi la Uingereza ni NID intelejensia ya kamandi ya jeshi la majini kilichoundwa 1912 ina hazina tosha ya taarifa za vichochoro, mapango, vilima, milima, mito, jangwa n.k kumpata na kumpiga adui kisawa sawa.
Hivyo vitengo vyao NID na ONI vya mataifa hayo mawili humulika mienendo, mipango na njama za adui ili itapofika haja ya mapambano wanakuwa wameshakukuelewa ndani nje
View: https://m.youtube.com/watch?v=XHjkCqOj8vA