Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Singapore haiwezi jiunga kwenye hayo mapigano ya kipuuzi sera ya Singapore ya mambo ya nje inazuia kujiunga kwenye migogoro ya namna hiyo toka foundation ya Singapore
Singapore to contribute troops to US-led maritime security force in Red Sea

Singapore will contribute troops to a US-led international maritime security force formed to respond to attacks by Yemen's Houthis against merchant vessels in the Red Sea, a senior minister of the Asian financial and trade hub said on Tuesday. Singapore is in the midst of a major shipping route to north Asia from the rest of the world and plays a critical trade financing role that is widely dominated by China, Japan and South Korea as well as the rest of the world
 
Uzuri mmeandika wenyewe

Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448
Huyo hajui kitu.
 
Eti ISSA bin Maryam atahukumu !! Ninyi ndio mbumbumbu ambao hamuutaki ukweli,ISSA hawezi kuwa Mungu ,ISSA ni nabii huo uungu mnaompa mmeutoa wapi enyi wafarasiyo!
Mkuu, ni Nabii Gani amewahi kufa Kisha akajifufua mwenyewe?

Na Issa Mbona sio YESu?

Na kama ni YESU ni mafundisho Gani ya YESU unayoyaamini wewe na kuyaishi ikiwa unaamini YESU ni Nabii?
 
Eti ISSA bin Maryam atahukumu !! Ninyi ndio mbumbumbu ambao hamuutaki ukweli,ISSA hawezi kuwa Mungu ,ISSA ni nabii huo uungu mnaompa mmeutoa wapi enyi wafarasiyo!
Sasa mzee wapi nimesema Issa ni Mungu? Mbona umejaa povu. Quran ndio inasema Issa atahukumu ulimwengu, ja atauhukumu ulimwengu kama nani? Sasa kosa langu ni lipi hapo?
 
Shida unachanganya mambo. Hakuna taifa linaloishambulia Yemen kwani ni kanchi kamaskini ka kiarabu ila kufunga kwao shughuli za Baharini ndio kilichosababisha haya.

Juzi nilimsikia Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(PTA) akielezea madhara yanayosababishwa na hao Hauth kwenye uchumi wa Tanzania kwa kuzuia na kushambulia meli zinazopita ukanda huo. Hii ni sawa, waache kushambulia meli za mizigo na kufanya uharamia wa Baharini kwani madhara yake ni makubwa kwenye uchumi wa Duniani.
Sisi tuchukue mafuta Urusi kupitia china au India
 
bro kuna muda jifunze kunyamaza hii itakusaidia kuficha ujinga ulio nao kichwani Sio kila kitu ni cha ku reply unajizalilisha
We nani mpaa uniambie najizalilisha kwani nimeowa kwenu. Au na undugu na wakristo? Yani we unataka ni nyamaze mkristo akiongea utumbo.

Tatizo lenu wakristo mkiona Muislam anapigana kudai haki za wenzao ni gaidi, mkiona muislam anajibu mnataka anyamaze, sa wambie wakristo wote wa humu wanyamaze ili ujinga upungue 😄

Haya tuelezeni America na Uingereza kwanini wakampige Yemen sababu anazuia meli zinazo enda Israel tu, kwanini waje wao kupigana na Yemen kama sio wao ndio magaidi.
 
Back
Top Bottom