Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uingereza no kikaragosi chake, nchi nyingine Kama Ufaransa au Germany huwa zinaangalia uelekeo kabla ya kuamuaHivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
Unabii wa Biblia unataja Uingereza na Marekani kama serikali moja.Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
Acheni upuuzi wa kuugeuza mzozo huu na mambo yenu ya kijinga kabisa watu weusi ya kidini.Limeufyata linaimbia chumbani chumbani kwake Allahu akbar. Limewaachia magaidi wa Kahama kulisifia humu jf.
Mosi,hiyo meli walimtaarifu mapema kuizamisha,pili nuclear alizonazo Israel wameshamtaarifu watazitupiamo bomu humo humo ndani ya Israel limkaange mwenyewe.Generali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
Unamtofautishaje gaidi na wimbo wa Allahu akbar? Rejea boko haram,Hamas, alqaida, alshabab,Isis na Islamic jihad...haya makundi ya kigaidi na yote yakiwa yanashambulia kwa risasi au kuchinja mtu kichwa au kwa RPG huwa yanatamka Allahu akbar.Acheni upuuzi wa kuugeuza mzozo huu na mambo yenu ya kijinga kabisa watu weusi ya kidini.
Saudi arabia iliishambulia Yemen kwa silaha za Marekani mabomu mfululizo zaidi ya miaka 5 lakni badala yake houth wako vizuri zaidi. Inaonekana wana Underground bunkers wanakimbiliaga huko wakati wa mashambulizi.Mosi,hiyo meli walimtaarifu mapema kuizamisha,pili nuclear alizonazo Israel wameshamtaarifu watazitupiamo bomu humo humo ndani ya Israel limkaange mwenyewe.
Hapa tunaona ni jinsia Gani kuwa siraha kuubwa ambazo zinakugharimu mwenyewe.
uyo ni kama mwanamke hawezi pata ujauzito bila mwanaume, marekani anaukikekike flani.Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
kwa nchi kama Yemen milio ya risasi na mabomu kwao ni kama amapiano au mziki wa singeli uswahilini.Saudi arabia iliishambulia Yemen kwa silaha za Marekani mabomu mfululizo zaidi ya miaka 5 lakni badala yake houth wako vizuri zaidi. Inaonekana wana Underground bunkers wanakimbiliaga huko wakati wa mashambulizi.
Ndio maana wanasema, kilichofanyika jana na US na UK sio kipya kwao kwanza wamepiga sehemu zilezile amnazo tayari huwa zinapigwa sikubzote.
Jamaa inaonekana ni wabishi sna.
Hawajui tu watu...tunashangilia meli sijui za marekani..kuna bidhaa zikianza kupotea utasikia lawama kwa mama.Shida unachanganya mambo. Hakuna taifa linaloishambulia Yemen kwani ni kanchi kamaskini ka kiarabu ila kufunga kwao shughuli za Baharini ndio kilichosababisha haya.
Juzi nilimsikia Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(PTA) akielezea madhara yanayosababishwa na hao Hauth kwenye uchumi wa Tanzania kwa kuzuia na kushambulia meli zinazopita ukanda huo. Hii ni sawa, waache kushambulia meli za mizigo na kufanya uharamia wa Baharini kwani madhara yake ni makubwa kwenye uchumi wa Duniani.
Pro-Houthi, Pro-Hamas hawana akili timamu ni kama vichaa fulani natamanigi kuwaona in personhuo ndo uthibitisho wako kua meli imelipuliwa/imezamishwa?
umeenda mtandaoni kuokota picha ya mwezi Desemba 2023 una kuja kuihusisha na tukio ilo lililo tokea leo? kijana una akili kweli wewe??
Hata ww unaweza andika huko Twitter kwamba jw wamezamisha manowali ya Marekani., mwanzoni SI walikuwa wanarekodi na kututumia video kabisa sasa nn kimewafanya wasirekodi tena hilo tukio la kuizamisha hiyo meli?Generali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
Wafe? Marekani mwenyewe ilimchukua siku zaidi ya 4 kuzamisha moja ya meli zake mwenyewe aliyoamua kuiteketeza.Ngoja tusubiri matokeo.
Maana hawa jamaa walisema wanayimakombora ya kuzamisha lile jimeli kubwa la matrillioni ya shiringi aircraft carrier mpya ya Us iliyoko mitaa hiyo.
Waturuki nao wamesogeza meli zao kivita karibu ya Ghaza:
View: https://youtu.be/szv0oh0XeH0?si=_xxYW_WlRcAFThrE
Naona bi mkubwa umetoa ile ndio ila kwa mbinde haha, sema nimekuelewaKwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.
Naona sasabWamsrekani na Waingerezanwamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.
Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.