Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Generali wa Hauth anasema wameshazamisha meli ya kwanza na wote waliomo. Ni kazi ya US kutangaza au kupotezea.
Lile meli kubwa la kubena ndge lilizama hata mimi nitaumia sana. Naunga mkono kulisogeza mbali na range ya makombora ya hao wajomba
Hii ya houthi na kuzamisha meli nimeiona hapa ila bado sijathibitisha nje ya hapa

Ila lile kubwa jinga likizamishwa itakua raha sana
 
Mosi,hiyo meli walimtaarifu mapema kuizamisha,pili nuclear alizonazo Israel wameshamtaarifu watazitupiamo bomu humo humo ndani ya Israel limkaange mwenyewe.

Hapa tunaona ni jinsia Gani kuwa siraha kuubwa ambazo zinakugharimu mwenyewe.
Hili la kuzamisha meli la kweli?
 
Ngojea aje akujibu T14 Armata
Ile ni mission ya kimataifa ya kulinda njia za baharini za kibiashara. Uingereza imeathiriwa kibiashara na mashambulizi ya Houthi, waliposhambulia meli za kimataifa hasa juzi siku ambayo walitoa mashambulizi makubwa zaidi na yakazuiwa na Marekani na Uingereza.
 
Mission ya kimataifa hua inapitishwa na mataifa gani?
 
US & UK kwa Yemen kayakanyaga, myemen akisikia sauti ya mtutu anakimbilia kama mzaramo anavyokimbilia ngoma au kigodoro, hao jamaa wanapenda kupigana kuliko jambo lolote unalolijua.
 
Sema Houthi, Yemen iko kwenye Civil War na kuna kundi linawapinga Houthi, liko tayari kushirikiana na Marekani
 
Mission ya kimataifa hua inapitishwa na mataifa gani?
Yakishakuwa mawili ni kimataifa, au unataka useme ni kitaifa, au ili iwe mataifa inabidi yaanzie mangapi kwa idadi?
Jambo likishakuwa la Kenya na Burundi tiyari ni la kimataifa.
 
Sema Houthi, Yemen iko kwenye Civil War na kuna kundi linawapinga Houthi, liko tayari kushirikiana na Marekani
Usaliti/unafiki tatizo kubwa sana kwa mwarabu, bila usaliti wa wenyewe kwa wenyewe ata vascodagama asingetoboa safari yake ya India. Ilo ndio tatizo lao kubwa kwa miaka mingi, naamini mataifa ya kiarabu yangekua na umoja usio na unafiki, hakuna mzungu angesumbua.
 
Ile ni mission ya kimataifa ya kulinda njia za baharini za kibiashara. Uingereza imeathiriwa kibiashara na mashambulizi ya Houthi, waliposhambulia meli za kimataifa hasa juzi siku ambayo walitoa mashambulizi makubwa zaidi na yakazuiwa na Marekani na Uingereza.
Uk ina athirika kivipi wakati wahuthi wanashambulia meli zenye uhusiano na Israel tu?
Ww sema wameenda kuilinda meli za Israel baada ya wao kushindwa kuzilinda.
 
Back
Top Bottom