Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani ameshambulia alafu unamuita muoga, akili gani hizi. Muoga gani anakushambulia.

Houthi mara zote wanashambulia meli za Marekani wanaambulia patupu, wametumiwa guided missiles, jets zikadondosha mabomu hawana ulinzi wa anga. Marekani akae mkao gani wa kula kwa hao walalahoi si anawachakaza tu.
kama marekani sio muoga angekuwa anaenda mwenyewe vitani, mbona kila analofanya anawashirikisha wenzake !?
 
Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.

Naona sasa Wamarekani na Waingereza wamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.

Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Wataanza Sasa.
 
3. Unajua kwa nini Russia, China, Aljeria au Msumbiji walilisusia azimio kuwalaumu Yemen?
Usisikilize hao wahuni.
Ule ni muungano wa kimataifa kudhibiti maharamia na magaidi wanaotatiza biashara za kimataifa kwa kushambulia meli zenye bidhaa.

Mataifa yanayohusika siyo mawili tu, yapo kadhaa. Baadhi ya Kiarabu hayapendi kutajwa kwa sasa, ila naona Bahrain katajwa

Magaidi wa Houthi wameshashambulia meli 27 na kuathiri biashara katika mataifa 55 duniani. Hivyo ni lazima wawajibishwe na kukomeshwa...
----------------------‐----------

On Jan. 11 at 2:30 a.m. (Sanaa time), U.S. Central Command forces, in coordination with the United Kingdom, and support from Australia, Canada, the Netherlands, and Bahrain conducted joint strikes on Houthi targets to degrade their capability to continue their illegal and reckless attacks on U.S. and international vessels and commercial shipping in the Red Sea. This multinational action targeted radar systems, air defense systems, and storage and launch sites for one way attack unmanned aerial systems, cruise missiles, and ballistic missiles.

Since Oct. 17, 2023, Iranian-backed Houthi militants have attempted to attack and harass 27 ships in international shipping lanes...

“We hold the Houthi militants and their destabilizing Iranian sponsors responsible for the illegal, indiscriminate, and reckless attacks on international shipping that have impacted 55 nations so far, including endangering the lives of hundreds of mariners..
 
Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.

Naona sasa Wamarekani na Waingereza wamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.

Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Kichapo kipi bibi.....lete ushahidi wa picha???
Acha uongo
 
Back
Top Bottom