ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
vikundi vya kigaidi ndio visababishe vita ya dunia hio mbona haipogo kabisa kama Ukraine na russia walishindwa kusababisha hilo ije kua hawa mapimbi?third world war itatokea kabla ya mwaka 2030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vikundi vya kigaidi ndio visababishe vita ya dunia hio mbona haipogo kabisa kama Ukraine na russia walishindwa kusababisha hilo ije kua hawa mapimbi?third world war itatokea kabla ya mwaka 2030
Hapo Mmarekani na washirika wake wamyakanyaga kuliko walivyoyakanyaga Afghanistan, au hukumbuki walivyotolewa mkuku? Jikumbushe:Walichokuwa wanakitaka wameanza kukipata.Uzuri Mmarekani anashusha vitufe tu kwa hao mashujaa uchwara wa kiislam
punguza jazba madam, ni reli sio meli.Unaongelea nani?
.wayemeni toka lini wakajenga meli yenu?
Naona unahamisha magoli.
Vipi, mazayuni wameshamrudisha Joshua?
Wayemeni wanajenga reli yenu?punguza jazba madam, ni reli sio meli.
Kwani meli inajengewa wapi pale pale bandarini?
kama marekani sio muoga angekuwa anaenda mwenyewe vitani, mbona kila analofanya anawashirikisha wenzake !?Marekani ameshambulia alafu unamuita muoga, akili gani hizi. Muoga gani anakushambulia.
Houthi mara zote wanashambulia meli za Marekani wanaambulia patupu, wametumiwa guided missiles, jets zikadondosha mabomu hawana ulinzi wa anga. Marekani akae mkao gani wa kula kwa hao walalahoi si anawachakaza tu.
WE unadhani nuclear unqpiga tu kama akili yako inavyo kutumaUS si akapige nuclear moja tu pale iran
Unaniuliza mimi ndio niliyekuuliza?Wayemeni wanajenga reli yenu?
Wataanza Sasa.Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.
Naona sasa Wamarekani na Waingereza wamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.
Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Umewaza km mimiHivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
Hapo urusi atatia mkono kuzamisha hizo meli za marekani na uingereza,ili kulipa kisasi meli zake zilizopigwa na Ukraine,kifupi USA na uingereza wamejaa kwenye 18Lazima mfundishwe ustaarabu kwa viboko.
"Dunia bila ugaidi inawezekana'
Usisikilize hao wahuni.3. Unajua kwa nini Russia, China, Aljeria au Msumbiji walilisusia azimio kuwalaumu Yemen?
Dada amo1 aka Passion ume niita?
Hv magaidi hawawezi kufanya harakati zao bila kuingiza uislamuHivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
Jadiliana kwa staha acha matusi.Dada amo1 aka Passion ume niita?
Waturuki nao wamesogeza meli zao kivita karibu ya Ghaza:
View: https://youtu.be/szv0oh0XeH0?si=_xxYW_WlRcAFThrE
Upo masjid ipi shee ubwabwaYemen kisha zamisha meli ya kimarekani chezea Yemen hawa wajinga
acha mikwaraJadiliana kwa staha acha matusi.
Matusi ni kipimo cha kushindwa na jamaa amekujibu kistaarabu.
Acha matusi wala huonekani mjanja
Kama unabisha endelea kutukana tuone.
Kichapo kipi bibi.....lete ushahidi wa picha???Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.
Naona sasa Wamarekani na Waingereza wamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.
Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Taja jina la meli......itaje na namba yake ya usajiliYemen kisha zamisha meli ya kimarekani chezea Yemen hawa wajinga