Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

= Uingereza

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Labda huelewi kuwa Myemeni siyo mara ya kwanza kuwatandika Wamerekani, Uingereza na vibaraka wao.

Uanfikiri mpaka Mmerekani kuzikusanya nchi zaidi ya 20 kwa ajili Wayemeni alikuwa anaotea? Anajuwa kimbembe chao.

Subiri ujionee yatayojiri, Wayemeni hawakukisia kabisa na walijuwa wnachofanya kitawatia hasira Wamerekani na vibaraka wake.

Wapo na waamejitayarisha, hao wazungu unaowaabudu wataishaia kupiga raia na kubomoa majengo kwa mbali tu. Gahthubutu kusogea karibu. Unafikiri wamesahau yaliyowapata Afghanistan?

Sasa kama huelewi, Mmarekani an vibaraka wake waliivamia Afghanistan kwa ajili ya Myemeni mmoja tu, Osama Bin Laden, na mwisho wa siku wakatoka mkuku.

Hao ni watu ambao silaha zinauzwa kama pipi madukani.
Kwa hiyo tusitarajie neno cease fire? Hahaha
 
🇮🇹 Serikali ya Italia ilikuwa imekataa ombi la Marekani na Uingereza kushiriki katika uvamizi wa kijeshi dhidi ya Yemen jana usiku.

Wamestuka Marekani anataka kuwaachia vita Ulaya yeye yupo mbali.
Tulia wewe, haupo kwenye bao hapa.
Ulinzi wa hilo eneo ni muungano wa pamoja ulio sainiwa na nchi za USt, Australia, Bahrain, Belgium, Canada, Denmark, Germany, Italy, Japan, Netherlands, New Zealand, Singapore na the Uingereza.
Hizo nchi zote zipo hapo tayari kushiriki dhidi ya mashambulio ya meli zipitazo hapo.

Shambulio hili lilikubaliwa lifanywe na UK na US, kamavItaly nsye angetakiwa asingegoma kama utakavyo wewe, Italy tayari yupo field na ameshapewa majukumu na anzyatekeleza.
Tuondolee story zako za kitoto hapa, au unadhani watu wote humu wanaishi Kisiju!?
 
Hapo urusi atatia mkono kuzamisha hizo meli za marekani na uingereza,ili kulipa kisasi meli zake zilizopigwa na Ukraine,kifupi USA na uingereza wamejaa kwenye 18
Yani mnaanzisha vita kwa upuzi wenu alafu mnataka URUSI aje aingilie? nyie tulieni mnywe dawa yenu mana mmerikoroga wenyewe.
 
Nawewe ita wenzio mkampige Marekani. Kuna Iran, North Korea na Urusi aya nendeni
USA is a paper tiger hakuna asiyelijua hilo.
Hata wao wenyewe wanathibitisha vita pekee walioshinda kiunagaubaga ni operation cabanatuan.
Huyo Iran ashamtekea mpaka manowari zake strait of humoz na hakufanya lolote .
Makundi tu ya washika silaha yanawahenyesha je zikiingia nchi kamili mnatoboa?!
 
Tulia wewe, haupo kwenye bao japa.
Ulinzi wa hilo eneo ni muungano wa pamoja ulio sainiwa na nchi za USt, Australia, Bahrain, Belgium, Canada, Denmark, Germany, Italy, Japan, Netherlands, New Zealand, Singapore na the Uingereza.
Hizo nchi zote zipo hapo tayari kushiriki dhidi ya mashambulio ya meli zipitazo hapo.

Shambulio hili lilikubaliwa lifanywe na UK na US, kamavItaly nsye angetakiwa asingegoma kama utakavyo wewe, Italy tayari yupo field na ameshapewa majukumu na anzyatekeleza.
Tuondolee story zako za kitoto hapa, au unadhani watu wote humu wanaishi Kisiju!?
USITUONGOPEE WEWE HAKUNA VIJANA WENZAKO WA VIJIWENI HAPA.
Hapo red sea yupo USA na UK pekeake na wapo bandari ya Djibout.
Hayo mataifa mengine yalikubali kuunga muungano wa kulinda misafara ya meli hayajawasili bado.
Juzi UN security council walikutana kujadili draft solution ya nini kifanyike hapo red sea maana coalition iliyoundwa haijakua active.
Kama unabisha na ushahidi nakuletea.
Tena huyo Bahrain ndio alikataa kabisa yeye na UAE na Oman walisema hawatajihusisha na hilo sakata.
Kiufupi hiyo coalition iliyoundwa ni UK na USA pekee wapo hapo ila mataifa mengine hakuna aliyesogea.
Angalau India ilijitutumua ikaokoa crew members wa meli ya mwisho iliyoshambuliwa .
 
Yani mnaanzisha vita kwa upuzi wenu alafu mnataka URUSI aje aingilie? nyie tulieni mnywe dawa yenu mana mmerikoroga wenyewe.
Vita alianzisha USA kwa kumfadhili mzayuni kufanya occupation middle east.
Pia vita kaanzisha huyo huyo USA kwa kufadhili harakati za kumweka Mansour madarakani licha ya Yemen kutokumtaka kupitia Saudi Arabia.
Waarabu wanapambana kuvunja USA geopolitical influence hapo middle east maana washaona madhara USA iliyoleta kwao.
 
USITUONGOPEE WEWE HAKUNA VIJANA WENZAKO WA VIJIWENI HAPA.
Hapo red sea yupo USA na UK pekeake na wapo bandari ya Djibout.
Hayo mataifa mengine yalikubali kuunga muungano wa kulinda misafara ya meli hayajawasili bado.
Juzi UN security council walikutana kujadili draft solution ya nini kifanyike hapo red sea maana coalition iliyoundwa haijakua active.
Kama unabisha na ushahidi nakuletea.
Tena huyo Bahrain ndio alikataa kabisa yeye na UAE na Oman walisema hawatajihusisha na hilo sakata.
Kiufupi hiyo coalition iliyoundwa ni UK na USA pekee wapo hapo ila mataifa mengine hakuna aliyesogea.
Angalau India ilijitutumua ikaokoa crew members wa meli ya mwisho iliyoshambuliwa .
Acha upumbavu wewe. Hiyo cooliation usifikiri imuendwa jana ma wala siyo ya UN

Uwe unaangalia wa kuwajibu, usifikiri wote ni size yako..kenge wewe
 
Usisikilize hao wahuni.
Ule ni muungano wa kimataifa kidhibiti maharamia na magaidi wanaotatiza biashara za kimataifa kwa kushambulia meli zenye bidhaa.

Mataifa yanayohusika siyo mawili tu, yapo kadhaa. Baadhi ya Kiarabu hayapendi kutajwa kwa sasa, ila naona Bahrain katajwa

Magaidi wa Houthi wameshashambulia meli 27 na kuathiri biashara katika mataifa 55 duniani. Hivyo ni lazima wawajibishwe na kukomeshwa...
----------------------‐----------

On Jan. 11 at 2:30 a.m. (Sanaa time), U.S. Central Command forces, in coordination with the United Kingdom, and support from Australia, Canada, the Netherlands, and Bahrain conducted joint strikes on Houthi targets to degrade their capability to continue their illegal and reckless attacks on U.S. and international vessels and commercial shipping in the Red Sea. This multinational action targeted radar systems, air defense systems, and storage and launch sites for one way attack unmanned aerial systems, cruise missiles, and ballistic missiles.

Since Oct. 17, 2023, Iranian-backed Houthi militants have attempted to attack and harass 27 ships in international shipping lanes...

“We hold the Houthi militants and their destabilizing Iranian sponsors responsible for the illegal, indiscriminate, and reckless attacks on international shipping that have impacted 55 nations so far, including endangering the lives of hundreds of mariners..

1. Houthi kusiasa wanapambana na meli kwenda na kutoka Israel Hadi silaha zinyamaze Gaza.

2. Kiuhalisia wanataka kuutanua mzozo mashariki ya kati kimshinikiza yahudi kuufyata.

3. Sasa mzozo umetanuka red sea hakupitiki yote kama ayatakavyo Houthi.

4. Kuzuia mzozo ghuba ni Kwa maslahi ya kila mtu China, Russia, US, hadi mabibi na mababu walioko dongobeshi ikungu Lya bashashi kwao ngedere Ngabu huko.

5. Wasiojitambua wako busy wanakenua.
 
Yani mnaanzisha vita kwa upuzi wenu alafu mnataka URUSI aje aingilie? nyie tulieni mnywe dawa yenu mana mmerikoroga wenyewe.
We unafikiri Hamas walilianzisha tu burebure!!?..hukuona vikao vya urusi,Iran,china ,Korea kaskazini kabla!?..watu wanataka kujitoa kwenye makucha ya magharibi
 
Acja upumnavu wewe. Hiyo vooliation usifikiri imuendwa jana ma wala siyo ya UN

Uwe unaangalia wa kuwajibu, usifikiri wote ni size yako..kenge wewe
Huna akili soma kwa kuelewa sio kwa kujisomea tu.
Coalition iliundwa mwaka jana december na hayo mataifa ulotaja.
ila hiyo coalition ni inactive.
Toka iundwe ni UK na US ndio wapo active.
Ndio maana UN security council ikakaa kikao kujadili nini kifanyike cha utofauti na hiyo coalition hapo red sea.
Na ndio maana nikakwambia katika hiyo coalition ni wawili tu wapo active wengine hawapo hapo hawajafika.
Nimekupinga kauli yako ya kusema Italy yupo na keshapewa majukumu.
Soma uelewe.
Bado mdogo sana kimaarifa.
 
Aliyekwambia hiyo coolisyion inakuwa activated na UN resolution ni nani? Hiyo cooliatiin haikuundwa na UN cooliation niliowataja ndiyo waliunda na waka sign kuundwa kwa cooliation hiyo ili kulinda maritime trade inayopita katika eneo hilo ambayo ni 12% ya maritime trade zote.
Activation yake ni kuwepo kwa threat katika eneo hilo na ndicho US na UK walichofanya.
 
Unaakili ndogo sana wewe mama sass turkey atamfanya nini muisrael? Kama tu yumo nato inamaana atapigwa biti ndani ya Nato hivyo uache ndoto zako.
Turkiye huwezi kumpiga mkwara kaka.
Walishampiga mkwara Syria na wakashindwa.
Hujiulizi kwanini Erdogan alipoamua kufunga balozi ya Israel,Telaviv ilituma Mossad wakazungumze nae???
Turkiye ni taifa lililojipambanua katika kila nyanja.
 
Tulia wewe, haupo kwenye bao hapa.
Ulinzi wa hilo eneo ni muungano wa pamoja ulio sainiwa na nchi za USt, Australia, Bahrain, Belgium, Canada, Denmark, Germany, Italy, Japan, Netherlands, New Zealand, Singapore na the Uingereza.
Hizo nchi zote zipo hapo tayari kushiriki dhidi ya mashambulio ya meli zipitazo hapo.

Shambulio hili lilikubaliwa lifanywe na UK na US, kamavItaly nsye angetakiwa asingegoma kama utakavyo wewe, Italy tayari yupo field na ameshapewa majukumu na anzyatekeleza.
Tuondolee story zako za kitoto hapa, au unadhani watu wote humu wanaishi Kisiju!?
Unaandika uharo mrefu unapenda kuokota porojo kweye vijiwe vya mbege unaleta JF lete source ya hiyo habari yako ukileta najitoa JF kwa faida ya JF wasome hii wewe endelea na uharo wako.

Msemaji wa Al Houthis kwa Al Jazeera: Hakuna muungano, bali ni uchokozi wa Marekani na Uingereza. Tuliwasiliana na nchi zingine zilizotangazwa kuwa sehemu ya muungano uliotulenga na walithibitisha kuwa wao si sehemu yake.

Rais wa Marekani alisema kuwa "vikosi vya kijeshi vya Marekani-pamoja na Uingereza na kwa usaidizi kutoka Australia, Bahrain, Kanada na Uholanzi- vilifanikiwa kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo kadhaa nchini Yemen
Al Houthis' spokesperson to Al Jazeera: There is no alliance, rather it is an American-British aggression. We communicated with other countries announced as part of the alliance that targeted us and they confirmed that they are not part of it.

The US President had said that "US military forces—together with the United Kingdom and with support from Australia, Bahrain, Canada, and the Netherlands—successfully conducted strikes against a number of targets in Yemen."
>>>>>>>>>>>>>
Soma na hii acha porojo
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
ROME, Jan 12 (Reuters) - Italy declined to take part in U.S. and British strikes overnight against the Houthi group in Yemen, a government source said on Friday, explaining that Rome preferred to pursue a "calming" policy in the Red Sea.
 
Aliyekwambia hiyo coolisyion inakuwa activated na UN resolution ni nani? Hiyo cooliatiin haikuundwa na UN cooliation niliowataja ndiyo waliunda na waka sign kuundwa kwa cooliation hiyo ili kulinda maritime trade inayopita katika eneo hilo ambayo ni 12% ya maritime trade zote.
Activation yake ni kuwepo kwa threat katika eneo hilo na ndicho US na UK walichofanya.
We kijana sijakwambia UN ndio anai activate na sijasema kama UN ndio kaiunda.
Elewa ,nachomaanisha kuwa licha ya mashambulio yote hiyo coalition imeshindwa kuwa active.
Hivyo UN wakakaa kikao kutafuta njia mbadala na USA na UK UN ambassadors wakiwemo katika hiko kikao.
Coalition haijafanya kazi ndio maana UN security council wakakaa kikao kutafuta other means or alternative.
 
Unaandika uharo mrefu unapenda kuokota porojo kweye vijiwe vya mbege unaleta JF lete source ya hiyo habari yako ukileta najitoa JF kwa faida ya JF wasome hii wewe endelea na uharo wako.

Msemaji wa Al Houthis kwa Al Jazeera: Hakuna muungano, bali ni uchokozi wa Marekani na Uingereza. Tuliwasiliana na nchi zingine zilizotangazwa kuwa sehemu ya muungano uliotulenga na walithibitisha kuwa wao si sehemu yake.

Rais wa Marekani alisema kuwa "vikosi vya kijeshi vya Marekani-pamoja na Uingereza na kwa usaidizi kutoka Australia, Bahrain, Kanada na Uholanzi- vilifanikiwa kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo kadhaa nchini Yemen

Al Houthis' spokesperson to Al Jazeera: There is no alliance, rather it is an American-British aggression. We communicated with other countries announced as part of the alliance that targeted us and they confirmed that they are not part of it.

The US President had said that "US military forces—together with the United Kingdom and with support from Australia, Bahrain, Canada, and the Netherlands—successfully conducted strikes against a number of targets in Yemen."
Atakuumiza kichwa ni mgumu kuelewa huyo jamaa.
 
Unaakili ndogo sana wewe mama sass turkey atamfanya nini muisrael? Kama tu yumo nato inamaana atapigwa biti ndani ya Nato hivyo uache ndoto zako.
Nimesema kasogeza manowari zake za kivitabkaribu ya Ghaza, kujuwa atamfanya nini au hamfanyi nini, hayo utajuwa wewe, mimi siyo mtabiri. Naweka yaliyopo.
 
USITUONGOPEE WEWE HAKUNA VIJANA WENZAKO WA VIJIWENI HAPA.
Hapo red sea yupo USA na UK pekeake na wapo bandari ya Djibout.
Hayo mataifa mengine yalikubali kuunga muungano wa kulinda misafara ya meli hayajawasili bado.
Juzi UN security council walikutana kujadili draft solution ya nini kifanyike hapo red sea maana coalition iliyoundwa haijakua active.
Kama unabisha na ushahidi nakuletea.
Tena huyo Bahrain ndio alikataa kabisa yeye na UAE na Oman walisema hawatajihusisha na hilo sakata.
Kiufupi hiyo coalition iliyoundwa ni UK na USA pekee wapo hapo ila mataifa mengine hakuna aliyesogea.
Angalau India ilijitutumua ikaokoa crew members wa meli ya mwisho iliyoshambuliwa .
Hahaha jamaa ana kamba huyo😂
 
Back
Top Bottom