Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Hahaha jamaa ana kamba huyo😂
Anasema Italy yupo na kapewa majukumu akati waliokuwepo ni. USA na UK tena wanaitumia bandari ya Djibout.
Namwambia coalition imefeli UN wameamua kukaa kikao tena kilichoitishwa na USA anakimbilia kusema coalition haijaundwa na UN.
We huyo mtu unamuelewa!?
 
Acha upumbavu wewe. Hiyo cooliation usifikiri imuendwa jana ma wala siyo ya UN

Uwe unaangalia wa kuwajibu, usifikiri wote ni size yako..kenge wewe
Usitumie nguvu nyingi kushinda njoo na ushahidi wa maneno siyo porojo Oman naye katoa tamko.

🚨🇴🇲 OMAN BANS WESTERN MILITARY FLIGHTS

Following last night's 100+ missile strike on Yemen, Oman has declared a no-fly zone for all Western military aircraft en route to Yemen.

Houthi source: "Oman has been helping Yemenis since the beginning of the aggression."

Source: Reuters, Al Jazeera
>>>>>>>>>>>>>
OMAN YAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA JESHI LA MAGHARIBI

Kufuatia shambulizi la jana usiku la makombora 100+ dhidi ya Yemen, Oman imetangaza eneo lisiloweza kuruka kwa ndege zote za kijeshi za Magharibi zinazoelekea Yemen.
 
Anasema Italy yupo na kapewa majukumu akati waliokuwepo ni. USA na UK tena wanaitumia bandari ya Djibout.
Namwambia coalition imefeli UN wameamua kukaa kikao tena kilichoitishwa na USA anakimbilia kusema coalition haijaundwa na UN.
We huyo mtu unamuelewa!?
Jamaa anataka kushida hamna muungano wowote Uturuki kawambia.

Erdoğan: "America and Britain are trying to turn the Red Sea into a sea of blood.

What is happening is the use of unbalanced force, and Israel is practicing this in Gaza, and we will see how Iran will defend itself.

We believe in the justice that will be achieved at the International Court of Justice in The Hague and we believe that it will condemn Israel.

Turkey handed over documents condemning Israel, and the oppressed have never lost, but rather the oppressors are the losers."

Source: Al Jazeer
 
Na ogopa Iran na Turkiye wakisema tunashikilia jambo.
Hao wahajemi wabishi sana.
 
Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
Kitu geopolitics. Alliances. Mnagawana uwajibikaji. Sio unaonekana mkorofi au kiherehere peke yako.

Marekani ina uwezo mkubwa sana kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi lakini inatafuta uhalali wa kuambatana na wengine ili kuhalalisha mashambulizi dhidi ya “adui wa wote” (common enemy).
 
We kijana sijakwambia UN ndio anai activate na sijasema kama UN ndio kaiunda.
Elewa ,nachomaanisha kuwa licha ya mashambulio yote hiyo coalition imeshindwa kuwa active.
Hivyo UN wakakaa kikao kutafuta njia mbadala na USA na UK UN ambassadors wakiwemo katika hiko kikao.
Coalition haijafanya kazi ndio maana UN security council wakakaa kikao kutafuta other means or alternative.
Hueleweki unachokipinga wala unachokitaka. Ngoja nikuacha uendelee ku debate na watoto wenzako, maama hata kukua hutaki.
 
⚡️Yemen: Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa nchini #Yemen, Mahdi Al-Mashat:

Uchokozi usio na msingi wa Marekani-Kizayuni-Waingereza ni ukiukaji wa sheria zote na watalipa gharama.

Tutaendelea kuzuia meli za Israel au zile zinazoelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu, bila kujali uchokozi dhidi ya watu wa Yemeni.

Tunawawajibisha Wamarekani na Waingereza kwa ajili ya uwekaji kijeshi wa meli za kimataifa, na tutathibitisha kwamba Yemen ni "makaburi ya wavamizi"
 
Huwa nafurahi sana nikikutana na watu kama wewe amabo hamuelewi hata kinachoendelea duniani. Naona hata historia inakupiga chenga na "general knowledge" upo zero.

Hivi USA, UK, France, Israel na wengine kibao, wakuungana na kutamba kuwa tumepiga mabomu Yemen? Kwa lipi zaidi? Kikundi cha fulani Wayeeni kimamuwa kutetea wanyoinge?

Na huko Ghaza ni hali kadhalika, mmebanwa na hamas mpaka mkaitwa Israel Diaper Forces. Au hujaona wakivaa diaper kwa kujiharia? springi hakuna na kimbembe cha Hamas si mchezo. Toka siku hiyo Hamas wakaanza kufanya vituko tu, nnauhakika na Wayemeni leo Ijumaa wakitoka kusali, wanaenda kukaa kwenye gomba lao, likiwakolea, wakitoka huko, leo mpaka kesho tutapata habari mpya.

Mnashindana na watu amabao wanatamani wafie kwenye medani. Huna uwezo wa kuwashinda. Mabwana zako kwanza wangewashinda Taliban, kijikundi cha wanafunzi tu. Unajuwa maana ya Taliban? Katazame Afghanistan inaongozwa na nani sasa na maendeleao wanayoyafanya ndani ya muda mfupoi tu.

Nikuoneshe?
 
Hili la kuzamisha meli la kweli?
🙄
Screenshot_20240112-133204.png
Screenshot_20240112-132857.png
 
Unaakili ndogo sana wewe mama sass turkey atamfanya nini muisrael? Kama tu yumo nato inamaana atapigwa biti ndani ya Nato hivyo uache ndoto zako.
Alipigwa biti na hao hao nato asinunue S400 na akanunua

Ingawaje turkey haaminiki yaani ukimuamini uturuki huna akili jamaa yule akili zake anazijua mwenyewe kwakweli
 
Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea
Saud Arabia, UAE,Sudan walifanya mashambulizi na kupeleka majeshi huko Yemen ila hawakuwashinda Wahouthi.

Kwamba haya mashambulizi yatazuia harakati za Wahouthi ni jambo la kusubiri.
 
Kitu geopolitics. Alliances. Mnagawana uwajibikaji. Sio unaonekana mkorofi au kiherehere peke yako.

Marekani ina uwezo mkubwa sana kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi lakini inatafuta uhalali wa kuambatana na wengine ili kuhalalisha mashambulizi dhidi ya “adui wa wote” (common enemy).
Hakuna cha kommon enemy Americant anajijua licha yakua na yote hayo ila kwenye vita ya kweli hua hatoboi

Nandio maana katika historia ya Americant hakuna vita aloenda mwenyewe akashinda ukiachana na ile ya Japan tena alishinda baada ya kutumia nyuklia

Americant bila washirika na bila nyuklia hajawahi kushinda vita yeyote na popote pale duniani tokea kujuulikana kwake

Kiufupi Americant inaujua udhaifu wake isipokua na nyuklia ama isipokua na wakuongozana nae

Bisha kwa fact
 
⚡️Yemen: Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa nchini #Yemen, Mahdi Al-Mashat:

Uchokozi usio na msingi wa Marekani-Kizayuni-Waingereza ni ukiukaji wa sheria zote na watalipa gharama.

Tutaendelea kuzuia meli za Israel au zile zinazoelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu, bila kujali uchokozi dhidi ya watu wa Yemeni.

Tunawawajibisha Wamarekani na Waingereza kwa ajili ya uwekaji kijeshi wa meli za kimataifa, na tutathibitisha kwamba Yemen ni "makaburi ya wavamizi"
Hakuna kupita meli yeyote hii ndio hoja mama

Houthi wakamatie hapo hapo
 
Back
Top Bottom