Anasema Italy yupo na kapewa majukumu akati waliokuwepo ni. USA na UK tena wanaitumia bandari ya Djibout.Hahaha jamaa ana kamba huyo😂
Safi sana waendelee kusogeza na kujipanga.Waturuki nao wamesogeza meli zao kivita karibu ya Ghaza:
View: https://youtu.be/szv0oh0XeH0?si=_xxYW_WlRcAFThrE
Usitumie nguvu nyingi kushinda njoo na ushahidi wa maneno siyo porojo Oman naye katoa tamko.Acha upumbavu wewe. Hiyo cooliation usifikiri imuendwa jana ma wala siyo ya UN
Uwe unaangalia wa kuwajibu, usifikiri wote ni size yako..kenge wewe
OMAN YAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA JESHI LA MAGHARIBI>>>>>>>>>>>>>
Mr IUharo no 2Safi sana waendelee kusogeza na kujipanga.
Naona unaharisha bado? 😁Mr IUharo no 2
Jamaa anataka kushida hamna muungano wowote Uturuki kawambia.Anasema Italy yupo na kapewa majukumu akati waliokuwepo ni. USA na UK tena wanaitumia bandari ya Djibout.
Namwambia coalition imefeli UN wameamua kukaa kikao tena kilichoitishwa na USA anakimbilia kusema coalition haijaundwa na UN.
We huyo mtu unamuelewa!?
Mr uharo na 2Naona unaharisha bado? 😁
Na ogopa Iran na Turkiye wakisema tunashikilia jambo.Jamaa anataka kushida hamna muungano wowote Uturuki kawambia.
Erdoğan: "America and Britain are trying to turn the Red Sea into a sea of blood.
What is happening is the use of unbalanced force, and Israel is practicing this in Gaza, and we will see how Iran will defend itself.
We believe in the justice that will be achieved at the International Court of Justice in The Hague and we believe that it will condemn Israel.
Turkey handed over documents condemning Israel, and the oppressed have never lost, but rather the oppressors are the losers."
Source: Al Jazeer
Kitu geopolitics. Alliances. Mnagawana uwajibikaji. Sio unaonekana mkorofi au kiherehere peke yako.Hivi Marekani hawezi kupigana vita mpaka ashirikishe Uingereza?
Hueleweki unachokipinga wala unachokitaka. Ngoja nikuacha uendelee ku debate na watoto wenzako, maama hata kukua hutaki.We kijana sijakwambia UN ndio anai activate na sijasema kama UN ndio kaiunda.
Elewa ,nachomaanisha kuwa licha ya mashambulio yote hiyo coalition imeshindwa kuwa active.
Hivyo UN wakakaa kikao kutafuta njia mbadala na USA na UK UN ambassadors wakiwemo katika hiko kikao.
Coalition haijafanya kazi ndio maana UN security council wakakaa kikao kutafuta other means or alternative.
Dying horse [emoji206] lazma atape tape sanaaaaaaaa na badoMarekani Kashindwa Ukraine, Iran, North korea, Taiwan na Israel kahamia Yemen. Ama kweli marekani anahaha.
Una lamba tu... Uongo sheikh wangu?Mr uharo na 2
Huwa nafurahi sana nikikutana na watu kama wewe amabo hamuelewi hata kinachoendelea duniani. Naona hata historia inakupiga chenga na "general knowledge" upo zero.Dua la kuku watafinywa kama walivyofinywa jana
View: https://twitter.com/Osint613/status/1745627412627435520?t=iB3exPQZEVicNN4lJJKOpw&s=19
Ngoja niombe kujua zaidi kwa swahiba wangu T14 Armata hii habari imekaaje hii?
Alipigwa biti na hao hao nato asinunue S400 na akanunuaUnaakili ndogo sana wewe mama sass turkey atamfanya nini muisrael? Kama tu yumo nato inamaana atapigwa biti ndani ya Nato hivyo uache ndoto zako.
Saud Arabia, UAE,Sudan walifanya mashambulizi na kupeleka majeshi huko Yemen ila hawakuwashinda Wahouthi.Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea
Hakuna cha kommon enemy Americant anajijua licha yakua na yote hayo ila kwenye vita ya kweli hua hatoboiKitu geopolitics. Alliances. Mnagawana uwajibikaji. Sio unaonekana mkorofi au kiherehere peke yako.
Marekani ina uwezo mkubwa sana kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi lakini inatafuta uhalali wa kuambatana na wengine ili kuhalalisha mashambulizi dhidi ya “adui wa wote” (common enemy).
Hakuna kupita meli yeyote hii ndio hoja mama⚡️Yemen: Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa nchini #Yemen, Mahdi Al-Mashat:
Uchokozi usio na msingi wa Marekani-Kizayuni-Waingereza ni ukiukaji wa sheria zote na watalipa gharama.
Tutaendelea kuzuia meli za Israel au zile zinazoelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu, bila kujali uchokozi dhidi ya watu wa Yemeni.
Tunawawajibisha Wamarekani na Waingereza kwa ajili ya uwekaji kijeshi wa meli za kimataifa, na tutathibitisha kwamba Yemen ni "makaburi ya wavamizi"