Wewe acha uongo bwana, Yemen ina kasi gani ya maendeleo na wana nini cha kusababisha hiyo kasi. Kweli dini ni mbaya kushinda bangi.Baab al mandib inapitisha 12% ya mizigo ya meli kidunia.
hiyo ni asilimia ndogo sana kuathiri uchumi wa dunia.
Inayoathirika ni Israel na Western nations labda pamoja na Misri.
Hivi unajua kwa kasi inayoenda nayo Yemen baada ya miaka miwili itaizidi Tanzania kiuchumi?
Maneno uliyotumia yanashusha utu na heshima yako tu na zaidi yanaonesha kiwango cha upumbavu ulionao kichwani. Usipojiheshimu hautaheshimiwa.Ukiona shoga USA anaenda kuuza kundu ujue kaambatana na shoga mwenzake UK
Ungeandika kiswahili tu, ona ulivyojiaibisha! English is not for everyone.Yes should the end of the movie
nothing can be achieve by air campaign and they know that
And they know yemen is not a cake walk
have a nice day
god bless Mandela in heaven
Nimechota kidogo kwenye mito ya mvinyo tuliyoahidiwa ndani ya quran tukufu.Mjomba hiyo avatar vipi π€£π€£
Meli za kutoka United kingdom au United state kwenda Israel zinaweza pitia hapo Spain kuingia mediteranian sea karibu na kisiwa cha palma, sasa kwann zinazunguka kuja india ocean kuingilia Redsea ndo kufika israel?Weka swali lako vizuri
Mwanzo hayakuguswa na muda huu yameguswaje?Muda huu maslahi Yao yameguswa moja kwa moja bila meli kupita hapo uchumi wa hizo nchi utayumba hivyo yyte atakayetatiza shughuli zao maeneo hayo ataguswa pabaya.
Hakuna jipya bila ground invasion unadhani watafanya meli ziende na kupita israhellHuko mashariki ya kati hali si hali. Naona Yemen anatafutwa kwa nguvu
New strikes
US launches new strikes on Yemenβs Houthis as conflict escalates
The attack comes a day after US, UK raids on Iran-aligned groupβs facilities sparked protests, calls for retaliation.www.aljazeera.com
Naona meli zishaanza kupita hapo red sea π
Waulize askari wake 30 America wako wapi, wachilia hao wawili wanasema wamepotea Somalia ππ sawa
Hata mimi nashangaa kuona zinapita ndio mana wamefurahi wakarudi na leo kupiga π Si jana tu walisema wamemmaliza Al Hout sa mbona wamerudi tena πNaona meli zishaanza kupita hapo red sea π
Meli za biashara zinapita bandari tofauti tofauti kupakia na kupakua mizigo zipo meli za zinafanya safari hizo lakini wateja wengi wapo njia ya red sea.Meli za kutoka United kingdom au United state kwenda Israel zinaweza pitia hapo Spain kuingia mediteranian sea karibu na kisiwa cha palma, sasa kwann zinazunguka kuja india ocean kuingilia Redsea ndo kufika israel?
Shoga unalalamika nini ?Maneno uliyotumia yanashusha utu na heshima yako tu na zaidi yanaonesha kiwango cha upumbavu ulionao kichwani. Usipojiheshimu hautaheshimiwa.
Haya bhana.Waulize askari wake 30 America wako wapi, wachilia hao wawili wanasema wamepotea Somalia π
Hawa wana akili sababu Yemen alikuwa anawachia kila nchi ipite isipokuwa zinazo enda Israel, sa ajabu America anajidai imewadhuri wengi hamna lolote kaona Israel kabanika vibaya ndio kaja na gear hio sa kaukalia yeye na nchi zote zilizo shiriki hilo shambulizi.
Drone za mafuta ya taaπππ hii ni zaidi ya ungaWayemeni wahuni sana wanawayumi Drone za dollar 500 za kutumia mafuta ya taa ili zipigwe na missile za Kimarekani za Dollar million mpoja.
Hiyo imewatia sana hasira Wamerekani na Waingereza.
Maana kila wakiitunguwa moja wanaona nyingine inakuja, kumbe chambo kile makussudi kiwatie hasarara tu.
Hasira zao wakaenda kuwapiga Yemen.
Hii vita Wamarekani, Mazayuni na NATO wote wanachezewa kama watoto wadogo.
Faiza unajua Yemen iko kwenye vita ya wenyewe na upande wa Kusini uko tayari kushirikiana na Israel na USAKabisa, hajawahi kushindwa vita.