Wewe acha uongo bwana, Yemen ina kasi gani ya maendeleo na wana nini cha kusababisha hiyo kasi. Kweli dini ni mbaya kushinda bangi.Baab al mandib inapitisha 12% ya mizigo ya meli kidunia.
hiyo ni asilimia ndogo sana kuathiri uchumi wa dunia.
Inayoathirika ni Israel na Western nations labda pamoja na Misri.
Hivi unajua kwa kasi inayoenda nayo Yemen baada ya miaka miwili itaizidi Tanzania kiuchumi?