Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!


Uchaguzi wa harali ndio kitu gani ?? TUELIMISHENI SISI TUSIOFAHAMU KISWAHILI VIZURI
 
Ukweli ndio huo asilimia kubwa nchi yetu inawategemea hao jamaa hatuwezi kuwakwepa angalia miradi mikubwa inayofanywa ni misaada ya marekani mfano rea asilimia 100 marekani imefazili sasa tunajeur ipi mkuu?
 
Do you think mboga mboga Wana jali !?

Do you think hawajui kuwa kuikanyaga demo kutasababisha hayo matokeo !?
 
Kiukweli taifa letu linapitia hali ngumu sana ya kisiasa na watawala wametia pamba maskioni na kujifanya hawaoni hii hali na kuaminisha watu kuwa hali iko shwari, Yanafanyika mambo ya hovyo sana this time around.
 
CCM hata iambiwe vipi, haiwezi kuweka mizani sawa ya uchaguzi mkuu...
 
Tumalize kwanza tatizo tulilo nalo la utegemezi wa kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia kutoka nje, ndipo tujinasibu sisi ni taifa huru.

Hii hoja ya taifa huru, huletwa na wavivu wachache wa kufikiri wakiona haki na demokrasia zinahimizwa.

lakini hawashangai na kujifunza kwa mashirika ya kidunia ya mataifa huru yenyewe , yakileta misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…