Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
Wakifanya hivyo ni nafasi nzuri sasa kuitumia kuweza kujijenga na kuacha kuwategemea hao wakoloni mamboleo. TANZANIA NIYA WATANZANIA Hakuna wa kutuamlia
 
Ccm na mama hawajali wana ndoa mpya uarabuni huko kwa mfanya biashara maarufu ya utumwa wana shida gani
 
Kwani mawazo yako lazma ndiyo tuyakubali ila yetu uyapendi? Nchi hii sio mali ya CHADEMA wala CCM.
 
Ccm na mama hawajali wana ndoa mpya uarabuni huko kwa mfanya biashara maarufu ya utumwa wana shida gani
Kwani hao mabepari awakuwachukua ndugu zetu kama watumwa kufanya kazi huko Amerika?
 
Hizi mada za kusema Marekani na Ulaya mbona mnatukatisha tamaa sasa, inamaana team NoRNoE bado niwatumwa sasa
Dunia ina mfumo wake. Kama ikitokea, sijuhi pesa yetu ya wekundu wa msimbazi sijuhi itakuwaje. Ubaya wa mavikwazo ni kwamba mkiingia kutoka inachukua muda sana. Zimbabwe mpaka leo wanalialia kama watoto wadogo. Tunishianeni misuli hili sisi wananchi wa kawaida tuteseke. Si muda mrefu kitaumana, kila pesa itakayotumwa toka nje haiingii nchini. Uliza tu nchi zingine zenye shida hiyo. Ni mateso sana.
 
Ficha upumbavu wako mara mojamoja wewe!
Mungu asimame na hili!
 
We utakuja kujinyea hadharani
 
Upo sawa mkuu na hili lipo wazi sana.

Na kwakua kiburi cha serikali yetu kipo kwa waarabu, basi mabeberu yataanza kuwapa waarabu onyo kuhusu Tanzania alafu ndipo wataanza kutushenyenta.
Tukumbuke pia marufuku ikiwekwa kwa viongozi wetu haitokuwa kukanyaga ulaya na Marekani tu bali hata majirani wetu wote watakua polisi wa mabeberu.... Kwa kifupi CCM itatambulika kama kikundi cha kigaidi duniani
 
ALL IN ALL NAUNGANA NA WEWE WESTERN KUI-SCREW TANZANIA MPAKA IWE NA UCHAGUZI HURU NA AHAKI
Mabeberu wanafiki hawa, wameshindwa mpaka sasa kui-screw Israel iruhusu misaada iingie Gaza kisa ni mshirika wao.
 
 
Sijui sio sijuhi
Unajenga hoja vizuri
 
Hoja ya team NoRNoE yenye nguvu ni moja tu "Utekaji" ambao bado hatuelewi elewi nini kinaendelea.
Ila Kwa Maswala ya Kidiplomasia Mama Samia sina shaka nae. Mambo ya kutekeleza alioya ahidi sina shaka nae kabisa.
Mm anachoniuz nikulea watumishi km watoto wake kitu kinachopelekea ubadhirifu wa fedha kuwa mkubwa mno
 
Muwe na kumbukumbu naona machawa wanatetea kama kipindi wanawaita Mashoga. Baada ya mkataba kujulikana wakapiga kimya

Muda utaongea. Akimaliza kufunga misaada anawaita ICC.

Kenya walifyata baada ya uchaguzi wa 2008 kutokea vita ya demokrasia.

Nyinyi machawa vimbisheni mashavu.
 
Ujamaa unaingiaje hapa! CCM ni wajamaa?

Trump, Elon Musk, Vance wote wanazituhumu nchi za EU na UK kwa kuminya demkrasia, hizo ni nchi za kijamaa?

Tunachopigania ni haki Tanzania. Itikadi za ujamaa au ubepari peleka huko.
Tunachopigania ni haki of course, haki ya freedom of speech, freedom of religion, kutokutekwa na kutokuuawa kipumbavu na vibaka wa Chura Kiziwi. Haki ya kuwa na huru unapo-support chama chochote na kuwa huru kukitetea bila hofu ya kutekwa na kuuawa.
Hiyo ndiyo haki tunayoitaka Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…