Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa Usiku wa Leo kuwaweka macho mamilioni ya watu Ulimwenguni kwote kwa ajili ya kufuatilia hotuba yake .

Ambapo taarifa zinaonyesha ya kuwa anasubiriwa kwa hamu kubwa sana kuzungumza ,akiwa ni mgeni mwalikwa kama mtu na kiongozi mashuhuri na Mwenye ushawishi kutoka Afrika. na ambaye amekuwa mstari wa mbele kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kumuokoa mwanamke kiafya na kumuepusha na athari za kiafya.

Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

zinazotokana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kupikia ambayo yanatajwa kusababisha vifo vya maelfu ya watu ulimwenguni kwote huku wahanga wakubwa wakiwa ni akina mama au wanawake na watoto wa kike.

Tuseme tu ukweli Kuwa Rais Samia anakubalika na kupendwa sana na watu na viongozi mbalimbali Duniani kwote .ndio sababu ya kuona akialikwa kwenye mkutano huu mzito wenye kushirikisha wajumbe wazito wenye kujadili maswala mazito na wenye kutoa maazimio na maamuzi mazito. Hamujiulizi kwanini aalikwe yeye tu? Kwanini kati ya makumi ya viongozi wameachwa lakini Mama huyu kapata fursa hiyo adimu na ya heshima ya juu? Wenye wivu na chuki binafsi kwa Rais Samia najua mtakuwa mnaumia sana huko mliko.

Usishindane na aliyepewa kibali na kuinuliwa na Mungu mwenyewe.usipigane na anayepiganiwa na kutetewa na Mungu.Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe na hawezi kushushwa na mkono wa Mwanadamu Mwenye chuki binafsi na dua za kuku.Mama ni chaguo la Mungu Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
20241109_202614.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa Usiku wa Leo kuwaweka macho mamilioni ya watu Ulimwenguni kwote kwa ajili ya kufuatilia hotuba yake .

Ambapo taarifa zinaonyesha ya kuwa anasubiriwa kwa hamu kubwa sana kuzungumza ,akiwa ni mgeni mwalikwa kama mtu na kiongozi mashuhuri na Mwenye ushawishi kutoka Afrika. na ambaye amekuwa mstari wa mbele kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kumuokoa mwanamke kiafya na kumuepusha na athari za kiafya.

Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

zinazotokana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kupikia ambayo yanatajwa kusababisha vifo vya maelfu ya watu ulimwenguni kwote huku wahanga wakubwa wakiwa ni akina mama au wanawake na watoto wa kike.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Powerful woman head of the state speaking before powerful heads of States and Governments, on behalf of Tanzanians, East Africans and good people of Africa Continent.

God bless you madam President Dr.Samia Suluhu Hassan 🌹
 
Utashangaa CHADEMA wanakutukana kwa ujumbe wako mzuri kabisa na murua kabisa.si unajua wengi Elimu zao ni tia maji tia maji tu ambapo ni hicho ulichoandika wataanza kuona kama nyota nyota tu.
 
Salam za kariakoo tu kakomaa kusoma ki notebook uko si atasoma li kitabu kabisa
Acha maneno maneno hapa.Rais wetu anao uwezo hata wa kwenda kutoa muhadhara chuo kikuu cha Harvard au Yale Nchini Marekani mbele ya ma profesa na watu wakabakia wanashangilia muda wote huku wakibubujikwa na machozi ya furaha.
 
Back
Top Bottom