Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
well and good mwalimu,Point of correction : On behalf of tanzania si east africa wala africa.
hii imenda kabisaaaa 👊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well and good mwalimu,Point of correction : On behalf of tanzania si east africa wala africa.
Hiyo wanja sasa! Sijui ndio kibrazilSalam za kariakoo tu kakomaa kusoma ki notebook uko si atasoma li kitabu kabisa
Hujatumiwa clip?Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa Usiku wa Leo kuwaweka macho mamilioni ya watu Ulimwenguni kwote kwa ajili ya kufuatilia hotuba yake .
Ambapo taarifa zinaonyesha ya kuwa anasubiriwa kwa hamu kubwa sana kuzungumza ,akiwa ni mgeni mwalikwa kama mtu na kiongozi mashuhuri na Mwenye ushawishi kutoka Afrika. na ambaye amekuwa mstari wa mbele kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kumuokoa mwanamke kiafya na kumuepusha na athari za kiafya.
Soma Pia: Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20
zinazotokana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kupikia ambayo yanatajwa kusababisha vifo vya maelfu ya watu ulimwenguni kwote huku wahanga wakubwa wakiwa ni akina mama au wanawake na watoto wa kike.
Tuseme tu ukweli Kuwa Rais Samia anakubalika na kupendwa sana na watu na viongozi mbalimbali Duniani kwote .ndio sababu ya kuona akialikwa kwenye mkutano huu mzito wenye kushirikisha wajumbe wazito wenye kujadili maswala mazito na wenye kutoa maazimio na maamuzi mazito. Hamujiulizi kwanini aalikwe yeye tu? Kwanini kati ya makumi ya viongozi wameachwa lakini Mama huyu kapata fursa hiyo adimu na ya heshima ya juu? Wenye wivu na chuki binafsi kwa Rais Samia najua mtakuwa mnaumia sana huko mliko.
Usishindane na aliyepewa kibali na kuinuliwa na Mungu mwenyewe.usipigane na anayepiganiwa na kutetewa na Mungu.Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe na hawezi kushushwa na mkono wa Mwanadamu Mwenye chuki binafsi na dua za kuku.Mama ni chaguo la Mungu Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi ukaelewa mchango wa Rais Samia Duniani maana wewe umejaa chuki tu na wivuNi lini alitangazwa kuwa yeye ni nembo ya Afrika?(akili mtu wangu).Kiongozi mwenye ushawishi anatokea taifa ambalo kuokoa watu katika jengo moja inachukua zaidi ya 48hrs? what if ungekuwa mji mzima si mgetia huruma kabisa?(Lord be merciful)
Marekani na Ulaya kusikiliza hiyo hotuba unafikiri kwao ina impact gani?(just be honest)
Subiri utapata kila kitu.Hujatumiwa clip?
Mchango wake ni upi duniani nitajie michango yake miwili bila porojo.Ukitaja ntakubali kweli nina wivu na chuki(japo si kweli)Huwezi ukaelewa mchango wa Rais Samia Duniani maana wewe umejaa chuki tu na wivu
endelea na uchawa utachekwa hadi na kunguruWivu utakuuwa wewe mwaka huu.
Mimi siyo chawa.endelea na uchawa utachekwa hadi na kunguru
Kwanza ni aibu kuwa na kiongozi wa namna ileAmealikwa kuongelea nishati ya kupikia tu na sivinginevyo😀
Anajua nini yule we unavyomuona
Hili jitu halina akili kabisaendelea na uchawa utachekwa hadi na kunguru
Upo sahihi huwezi kuwa na undugu na huyu shetaniSamahani mtoa mada hapo uliposema "Ndugu zangu Watanzania," ningependa unitoe kwenye hilo group la ndugu zako NARUDIA MIMI SIO NDUGU YAKO CHAWA WEWE
Tunaongozwa na mtu wa hovyo kabisaSalam za kariakoo tu kakomaa kusoma ki notebook uko si atasoma li kitabu kabisa
Wewe ndiye jitu la Hovyo sana.Tunaongozwa na mtu wa hovyo kabisa
Amekimbia maafa kaenda kuuza suraWewe ndiye jitu la Hovyo sana.
Hiyo sio lugha yake mama. Ya nini kujivunia nayo? Hata Rais George Walker Bush alikuwa analaumiwa na Wamarekani kuwa alikuwa HAJUI kuongea kiingereza.The, the, zitakuwa kama zote
kbsUpo sahihi huwezi kuwa na undugu na huyu shetani
Debe Tupu kutwa nzuma kupiga kelele jf kwa Ujira wa Buku 10Hili jitu halina akili kabisa
Hata hayalipwi haya majinga yanaishi kwa matumaini ya kuteuliwaDebe Tupu kutwa nzuma kupiga kelele jf kwa Ujira wa Buku 10