Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu


Habari zimesambaa kwamba hata serikali za mitaa uchanguzi umemshinda. Yaani anaonekana hawezi lolote huko. Vyombo vya usalama wao vimeshawaambia hao wakubwa
 
Habari zimesambaa kwamba hata serikali za mitaa uchanguzi umemshinda. Yaani anaonekana hawezi lolote huko. Vyotmbo vya usalama wao vimeshawaambia hao wakubwa
Utakufa na wivu wako .Mama anakubalika sana na ndio maana ya kupata mualiko huo mzito katika mkutano mzito wenye kujadili maswala mazito wenye kutoa maamuzi na maazimio mazito.
 
Nashauri tu ajielekeze ktk
  • Nishati jadilifu na mbadala
  • Vita ya mashariki ya kati
Vita ya Asia
* Uzalishaji chakula duniani
 
Mama ni msikilizaji tu aliyealikwa; hawezi kuhutubia kwa vile Tanzania siyo mwancahama wa G20. Anapata advantage ya kukutana na viongozi wa G20 na wasilizaji wengine walioalikwa pembeni mwa kikao.
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa kweli.Daktari samia anachapa kazi kisawasawa..nasikia nae ameiga mfano wa mtangulizi wake wa kulala na mafaili kitandani
 
Powerful woman head of the state speaking before powerful heads of States and Governments, on behalf of Tanzanians, East Africans and good people of Africa Continent.

God bless you madam President Dr.Samia Suluhu Hassan 🌹
Point of correction : On behalf of tanzania si east africa wala africa.
 
"kuwaweka macho mamilioni ya watu Ulimwenguni kwote kwa ajili ya kufuatilia hotuba yake" .
Hii uliipata wapi? Weka hapa hotuba yake tuone atachosema ni nini kipya? Si kuomba mikopo tu na uwekezaji?
 
Wakati wa Berlin conference,Kuna mataifa ya Ulaya walialikwa kama watazamaji observer.Mojawapo Switzerland.

Hawakushiriki kwenye mamuzi ya kugawa bara la Africa, Hawakupewa koloni.

Ndiyo sawa na Samia ,sio sehemu ya maamuzi ya G 20 anapewa/Tanzania inapewa nafasi ya kuongea ,lakini haiamui chochote.

Tuache KUJIFARIJI kwa cheap politics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…