Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

Ni lini alitangazwa kuwa yeye ni nembo ya Afrika?(akili mtu wangu).Kiongozi mwenye ushawishi anatokea taifa ambalo kuokoa watu katika jengo moja inachukua zaidi ya 48hrs? what if ungekuwa mji mzima si mgetia huruma kabisa?(Lord be merciful)

Marekani na Ulaya kusikiliza hiyo hotuba unafikiri kwao ina impact gani?(just be honest)
 
Hujatumiwa clip?
 
Huwezi ukaelewa mchango wa Rais Samia Duniani maana wewe umejaa chuki tu na wivu
 
Huwezi ukaelewa mchango wa Rais Samia Duniani maana wewe umejaa chuki tu na wivu
Mchango wake ni upi duniani nitajie michango yake miwili bila porojo.Ukitaja ntakubali kweli nina wivu na chuki(japo si kweli)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…