Bora wew unakaa kwenye nyumba ya urithi.Hi
Huko marekan ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi vingunguti dah life is not feya kabisa [emoji24][emoji24][emoji24]
Ukute kweli we ni kubwa ovyo sema tu we ndo huelewi!!Nasimangwa mpaka naitwa jitu zima ovyo asiye taka toka kwao
🤣🤣Yani ww🤔Hi
Huko marekan ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi vingunguti dah life is not feya kabisa 😭😭😭
😂😂 daah!Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
If you are not educated that is 2-0.
If your parents don't have money that's 3-0.
If you are jobless and you don't have connection that's 4-0.
At this point you have no option than hustling like a Donkey...
🤣🤣🤣🤣Ni kupambana tu hakuna namna.Mbape yule mdogo sana kwangu angalia maisha yake af njoo uniangalie mimi kutwa kubishana na makonda wakwe daladala uku
HaHaHaOnce you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
If you are not educated that is 2-0.
If your parents don't have money that's 3-0.
If you are jobless and you don't have connection that's 4-0.
At this point you have no option than hustling like a Donkey...