Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,011
- 27,100
Pole yani kila mtu akisema aseme yanayomsibu unaweza sema ya kwako madgNisha pambana paka kwapa zimejichimba shimo nikilala maji yanakaa
Pole yani kila mtu akisema aseme yanayomsibu unaweza sema ya kwako madgNisha pambana paka kwapa zimejichimba shimo nikilala maji yanakaa
If you are lazy and dumb that's 5-0Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
If you are not educated that is 2-0.
If your parents don't have money that's 3-0.
If you are jobless and you don't have connection that's 4-0.
At this point you have no option than hustling like a Donkey...
Kwanza una umri gani? Hata hapa wako baadhi wadogo tu wanamiliki mambo makubwa.Hi
Huko marekan ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi vingunguti dah life is not feya kabisa 😭😭😭
Fanya kazi muda wa kupumzika pumzika, Muda wa kwenda matembezi tembea.Ngoja nitulie au nipande meli ya mizigo niende uko af nikiludi naludi na ndege
Kwakweli sijui waliwaza niniShida iliaanzia hapaView attachment 2516404
Mkuu kwani una umri gani?Hi
Huko marekan ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi vingunguti dah life is not feya kabisa 😭😭😭
Yeah [emoji817]If you are lazy and dumb that's 5-0
Daaah hii nchi inawatu wajinga sanaShida iliaanzia hapaView attachment 2516404
39 bado una muda. Jipange vizuri tu.Umri 39
InasikitishaDaaah hii nchi inawatu wajinga sana