Marekani na Ulaya wenye umri kama wangu wanamiliki majumba

Marekani na Ulaya wenye umri kama wangu wanamiliki majumba

Ni rahisi kuwa na nyumba nchi za wenzetu, kazi zipo nyingi na ukishakuwa na kazi na credit nzuri wanakupa mkopo wa nyumba kama unataka
 
Hi

Huko Marekani na Ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi Vingunguti. Dah life is not feya kabisa 😭😭😭
Kwani umri wako ni miaka mia ngapi mwanangu?
 
Back
Top Bottom