Watu kama ww ndo wakupeleka Jela tu, Sasa maisha mazuri unataka akuletee nani,
Hao watu wa marekani kawaulize uone kama walikaa kwenye Nyumba za urithi akatokea malaika akawajengea nyumba,
Vijana wa Africa especially Tanzania wanachojua ni kuzaana tu, si wakike si wakiume (unaweza ukawa sio wewe usijihisi vibaya),.
Mtu yupo radhi kuzalisha wadada wanne au wa 5 bila kuwapa matumizi au yupo radhi kuzalishwa na wanaume kadhaa bila kujari kuwa nyuma alifanywa nn,
Mtu yupo radhi kukupa bikra bure Kwanini asijitoe kimaso maso kuondoa umaskini,
Kwa akili za baadhi ya vijana wa Tz nchi yetu hatukutakiwa kbsa kupiga kura ,
President like JPM should rule forever ,
KAMA UNAHITAJI MAISHA MAZURI YOU SHOULD SACRIFIE YOUR SELF ,
Au usubilie [emoji1422]wakuletee utajiri