Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Hii ni porojo ya zamani ya huyu mpiga debe wa Urusi. Mazungumzo yalifanyika kati ya viongozi wa Magharibi na Putin na Zelenskyy na ikakubalika kuwa Ukraine haitajiunga na NATO. Lakini Putin alikwishaamua kuvamia kumuondoa Zelenskyy na kuweka utawala wake Ukraine.

Putin hata leo msimamo wake ni kuwa Ukraine ni sehemu ya Urusi. Haitakiwi kuwa huru. Anasahihisha makosa ya kihistoria yaliyofanywa na Lenin na Kruschev. Period. Hana interest na mapatano mengine.

Swahiba wake Trump anampa support akamilishe azma yake hiyo. Juzi Trump kailaumu Ukraine kwa kuanzisha vita hiyo. Na ameshasema ipo siku Ukraine itakuwa jimbo la Urusi. Tishio la NATO lilikuwa Marekani. Lakini walishakubali tangu enzi za Biden kuwa Ukraine haitakuwa memba. Kinachoendelea ni unafiki na uongo.

Marekani imegeuka na kuiuza Ukraine kwa Putin. Imejitenga na Ulaya na NATO na kumkumbatia Putin. Mengine yote ni porojo za watu wenye mahaba na Putin. Hakuna chochote ambacho Zelenskyy na Ukraine wangefanya kubadilisha maamuzi ya Putin.

Tuendelee kushuhudia reality inayojitokeza.
Hujaelewa kitu.
 
Putin sasa anaichukua Ukraine yote kama alivyotaka toka mwanzo.
 
Trumb anamuita Zelenskyy dictator😂
 
Back
Top Bottom