Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Si nlikuwa mnasema RUSSIA nchi ndogo na Ukraine ni kubwa, haya Ma MAMBA wanaenda kupiga stori, makenge hamjaalikwa kudadadeki....
 
Wanakaumbi.

🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine.

Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea.

Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya.

Kauli za Zelensky kwamba hatakubali makubaliano ambayo hayajumuishi Ukraine ni za kipuuzi.

Wakati ambapo Marekani itasimamisha utoaji wa silaha kabisa, Ukraine itakuwa na miezi 2-3
Nawaona EU na Zelensky wana negotiate kwenye media kwa sasa. Trump hazungumzi nao anazungumza na Putin tu.
EU wametia aibu sana nchi 20 plus kumbe sifuri tu ndio mana Putin hawaogopi

Watu hamfanyi uchunguzi, mnaleta habari za uwongo.

Kabla ya huo mkutano na Russia huko Saudia, trump ameongea na kujadiliana na wakuu wa nchi za Ujerumani, Ufaransa, Italy na UK. Pia USA imeandaa dodoso ili kupata maoni ya nchi za Ulaya kuhusiana na mpango wa kumaliza vita huko Ukraine. Kwa upande wa Ukraine, Trump amesema wazi kuwa lazima Ukraine itashirikishwa kwenye mazungumzo.

Inaonekana humu kuna watu wanaokoto hadithi mbalimbali na kuzifanya ni habari.
 
Tatizo ni nini hasa? Uwezo mdogo wa lugha au uelewa? Ni uwongo mkubwa kuwa nchi za Ulaya na Ukraine hazitashirikishwa.

Kama una uelewa mzuri wa lugha hii, soma hapa chini, kisha futa uwongo uliouweka:

With the three-year war grinding on, Trump is sending Secretary of State Marco Rubio, national security adviser Mike Waltz and special envoy Steve Witkoff to Saudi Arabia for talks with Russian counterparts, according to a U.S. official.

In an exchange with reporters Sunday, Trump said Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy “will be involved” in the negotiations. Trump offered no further explanation.

White House officials on Sunday pushed back against the notion that Europe has been left out of the conversation. Trump spoke by phone in recent days with French President Emmanuel Macron and is expected to consult with British Prime Minister Keir Starmer this week.

During his visit to Munich and Paris, Vance held talks with Macron, British Foreign Secretary David Lammy, German President Frank-Walter Steinmeier, NATO Secretary-General Mark Rutte as well as Zelenskyy.

Source:
 
Nashukuru Kiongozi kwa maelezo yenye ufafanuzi unaoeleweka. Hata hivyo, kuna sehemu inanipa changamoto kuelewa hasa Kikao cha baadhi ya Wakuu wa EU kitakachofanyika Paris Ufaransa kitakuwa cha malengo gani?
 
Zelensky ndio akome mbwa kabisa, the comedian President Zelensky kaingiza Ukraine katika vita na kuua watu na kuharibu Ukraine kwa miaka 100 ijayo ndio Ukraine itarudia hali yake ya awali..!!

US sio nchi ya kuiamini, inakutumia alafu it dumps you like dead body..!!
Mwisho yatamkuta kama yale yaliyomkuta Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga
 
Unafikiri Israel msaada mkubwa anaupata wapi? EU nchi karibu zote zinampinga Israel.
France walienda Lebanon na kusema Israel waondoke ili Lebanon ijitawale. Ireland, Israel imefunga ubalozi. Sweden na nchi kadhaa zimewakataa Israel.
Acha ushabiki wenye motive za kinafiki
Wewe punguani hujui lolote kuhusu Israel na Ulaya hivi vita umevijulia JF wewe ndiyo wakunifahamisha mimi hichi ulichoandika kawaeleze wajinga wenzako eti Ulaya hawapatani ni Israel super power wote wa Ulaya wapo na Israel.

Unatoa mfano wa Ufaransa hujui kama Lebanon ni koloni la Ufaransa kuna maslahi yake pale. Ngoja nikupe darsa siku ingine usiandike upuuzi. Tunaanza na Uingereza wanavyoisadia Israel silaha.

>>>>>>>>>>>>>>
15% of the components of each Israeli F-35 fighter jet are made by British companies, including BAE Systems. According to the Campaign Against Arms Trade, the UK has granted arms export licences to Israel amounting to £574 million ($727 million) since 2008, including £42 million ($53 million) in 2022.
>>>>>>>>>>>>>>
Nakuwekea msaada silaha wa Ujerumani kwa Israel.
>>>>>>>>>>>>>>
Germany approved further arms exports to Israel worth more than €30 million ($31.2 million) over the past few weeks, German newsweekly Der Spiegel reported Tuesday.

Overall, Germany gave green light to weapon exports to Israel worth more than €160 million over the course of the year, despite growing international criticism of what human rights groups label genocidal actions in the Gaza Strip.

According to Der Spiegel, the latest arms export figures were released by the Ministry of Economics following an inquiry.

While the German government has fulfilled many of Israel's arms requests, it has not delivered any goods classified as weapons of war, such as artillery or tank ammunition.

Based on Der Spiegel's reporting, the government in Tel Aviv made a specific request for such weapons of war shortly after the Hamas attack in October 2023. But so far there has been no green light from Berlin.
>>>>>>>>>>>>>>
Nakuwekea kidogo tu moja ya misaada ya silaha ya Ufaransa kwa Israel.
>>>>>>>>>>>>>>
France. In late October 2023, 100,000 rounds of machine gun ammunition were supplied to Israel by France.
>>>>>>>>>>>>>>
JF siyo sehemu ya porojo ukija na hoja zako njoo na data siyo maneno matupu unaokota maneno mtaani unaleta JF hapana hapa kuna watu wanajua.
 
Ukiona mtu anaandika kama anadhikiri uchi, ujue kichwani hakuna maarifa.

Britain sio sehemu ya EU. Kalale bado una usingizi
 
Watu hamfanyi uchunguzi, mnaleta habari za uwongo.

Kabla ya huo mkutano na Russia huko Saudia, trump ameongea na kujadiliana na wakuu wa nchi za Ujerumani, Ufaransa, Italy na UK. Pia USA imeandaa dodoso ili kupata maoni ya nchi za Ulaya kuhusiana na mpango wa kumaliza vita huko Ukraine. Kwa upande wa Ukraine, Trump amesema wazi kuwa lazima Ukraine itashirikishwa kwenye mazungumzo.

Inaonekana humu kuna watu wanaokoto hadithi mbalimbali na kuzifanya ni habari.
Acha uongo Trump kafanya lini mjadala na ulaya?
Wewe ndiyo hujui lolote unajua Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, alichowambia Ulaya? Mpaka Ufaransa anaitisha mkutano wa dharura kupinga maoni ya Trump aliyomtuma waziri wake.
 
Ukiona mtu anaandika kama anadhikiri uchi, ujue kichwani hakuna maarifa.

Britain sio sehemu ya EU. Kalale bado una usingizi
Wewe kweli Tangawizi nani kakuambia Uingereza EU? Hiyo siyo hoja yetu, vipi Ujerumani na Ufaransa eti hawapatani na Israel😂
Hoja yetu kuwa Ulaya hawana msaada kwa Israel.

Nimekuambia zile super power zote wapo na Israel baada ya kuona bakora unahamisha magoli unakimbilia EU😂
 
Nashukuru Kiongozi kwa maelezo yenye ufafanuzi unaoeleweka. Hata hivyo, kuna sehemu inanipa changamoto kuelewa hasa Kikao cha baadhi ya Wakuu wa EU kitakachofanyika Paris Ufaransa kitakuwa cha malengo gani?
Hii ngumi uliyomsukumizia sidhani kama atakanyaga hapa tena
 
Ulaya haina chochote cha kumtisha putini na marekani yake. Ulaya yote inategemea kulindwa na marekani chini ya NATO ndio maana viinchi vyote vya ulaya vimekimbilia kujiunga na nato labda ujerumani na ufaransa at least they can stand on their own.

Marekani ana uchumi mkubwa,silaha za kisasa na za kutosha,teknolojia ya hali ya juu,intelejensia bora,ushawishi mkubwa kuliko nchi yoyote ya ulaya even togetherly combined. Ulaya itamuambia nini mmarekani?
Uki combaine ulaya yote na us ulaya ipo juu.
 
EU leaders + UK, wameitisha emergency meeting kuzungumzia swala la Ukraine baada ya hatua za US. Pamoja na future ya NATO ikiwezekena bila ya US.

View attachment 3238486

Ukitaka kupata background ya ugomvi wa Trump na EU; soma kitabu cha ‘John Bolton’ former security advisor kwanini alijizuru.

Trump ni security nightmare na international relationship; juzi kafukuza watu 400 kazi bila ya kujua hiyo department ndio inasimamia nuclear arsenal walizonazo all over US. Baadae kawarudisha.

Yaani anaendelea pale pale alipoishia awamu ya kwanza ambapo ilikuwa mtihani kweli kweli kwa security apparatus za US ku-maintain international relation hasa na European allies.

Kama ni mfuatiliaji wa siasa kina mengi ya kujifunza kuhusu misimamo ya Trump, ukisoma chote unaweza jiuliza how could US security allow huyu mtu kupewa tena nafasi. Maana karudi na wazimu awamu yake ya kwanza afadhali.
Kosa walilolifanya Democratic ni kuweka mgombea mwanamke then security systems za USA hazikua na choice, better kua na mwehu kuliko yule mama, kwanza uraia wake una utata, wajomba zake sijui Wahindi au Wajamaica; hata first term ya Trump, Democratic walifanya kosa hilo hilo la kumuweka mwanamke; Americans wana hubiri usawa wa kijinsia but kwa ubaguzi wa kijinsia hawa jamaa ni namba moja duniani, kama nchi za Kiislamu tu pale mashariki ya kati.
 
Wewe kweli Tangawizi nani kakuambia Uingereza EU? Hiyo siyo hoja yetu, vipi Ujerumani na Ufaransa eti hawapatani na Israel😂
Hoja yetu kuwa Ulaya hawana msaada kwa Israel.

Nimekuambia zile super power zote wapo na Israel baada ya kuona bakora unahamisha magoli unakimbilia EU😂

Shida yetu kubwa ni kusoma vipeperushi na kuamini ndio habari za kweli.

Tunadumaa kiakili na kupata matege yasiyoweza kunyooka sababu ya ushabiki ambao hata waarabu wenyewe hawana.

Kuzaliwa Chamanzi, na Mkuranga na kule kwetu Kisaki na Dutumi, kila uchao kuamini mambo yasiyo aminika. Mara tunapiga dua moja mti unakauka. Mara tutatuma mizimu itawanyoosha. Hakuna linalofanikiwa katika yote tunayofanya.
Tunakufa maskini wa roho, akili na miili yetu
 
Nawaona EU na Zelensky wana negotiate kwenye media kwa sasa. Trump hazungumzi nao anazungumza na Putin tu.
EU wametia aibu sana nchi 20 plus kumbe sifuri tu ndio mana Putin hawaogopi
Wamepewa live hawataki yarudie ya Minsk mkataba ambao Ujerumanu na Ufaransa walibeba dhamana kumbe walikuwa wanamchora Urusi.
 
Back
Top Bottom