LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Tramp anaiona ulaya kama kanyaboya fulani hiviEurope mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tramp anaiona ulaya kama kanyaboya fulani hiviEurope mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamka
Zele hakupata ushauri mzuri kutoka kwa watu wake wa karibu. Ndani na nje ya nchi. Alipoona Russia kashapeleka silaha nzito mpakani wao alipaswa kujiongeza na kuepusha hii vita. Na vilikuwa vinaepukika kama angeacha kumsikiliza Biden ambaye ninnamini kwa kiasi kikubwa ndie aliyechochea hii vita kwa kiwango kikubwaKwan kosa ni la Zele ? ebu tumia akili bas , Zele kaukuta huo ugomvi na yeye kama rais ana haki ya kulinda mipaka ya Ukraine , msitake kila kiongoz awe kama hawa wa ccmu
Baada ya ukoloni,usumbufu duniani umeletwa na marekaniTrump anawaforce wafanye hv kitu ambacho ni htr kwa dunia , urafiki wa USA na EU ndo uliwafanya ulaya kusinzia ila sasa hv watawafanya waanze umiza akili na hivyo lzm waje kuwa wasumbuf dunian
Us hajasalimu kwa russia trump anataka 50% ya mineral yote pale uk ndio atoe aid ya kijeshi fuatilia vizuri acha kukurupukaNnachofurahi Ni kuona wote hao EU na USA wamesalimu AMRI Kwa RUSSIA.
Na wanaotafuta suluhu Kwa njian ya mazungumzo Kwa jasho na damu😅
Unafurahi? Wakati gaza inakuw chini ya Us halafu baada ya rus kula kichapo kikali pale middle east maana hana ushawishi kama zamani haswa syria putin anachezew danganya toto tuHawa wote walikuwa na Marekani kupeleka silaha Israel na kuishambulia Gaza sasa wanalia lia nini😂
Ufaransa itawakutanisha viongozi wa Ulaya Jumatatu kujadili usalama wa Ukraine baada ya timu ya Trump kuiondoa Ulaya katika mazungumzo na Urusi.
Mkutano huo unaotarajiwa kujumuisha Uingereza, Ujerumani, Poland, na maafisa wa NATO, unalenga kuelezea jukumu la Ulaya katika kuisaidia Kyiv na kulilinda bara hilo.
Huku Trump akichukua mtazamo wa upande mmoja, viongozi wa Ulaya wanang'ang'ania kudai ushawishi-lakini baada ya miaka mingi ya kutokuwa na uamuzi, wanaweza kutoa hatua za kweli?
Chanzo: Reuters
Habari za gaza kuna uzi wangu njoo tujadili huu uzi mada ni.Unafurahi? Wakati gaza inakuw chini ya Us halafu baada ya rus kula kichapo kikali pale middle east maana hana ushawishi kama zamani haswa syria putin anachezew danganya toto tu
Amewashusha hadhi mnoTramp anaiona ulaya kama kanyaboya fulani hivi
Kwani anaishi Ukraine? Nadhani yeye na familia yake, hawapo kabisani nchini mwao, walikimbia long time ago; he is ruling the country like Cameroon President, who stays in FranceZelensky huu mwaka hamalizi atenda kuwa mkimbizi ulaya.
Imara kwenye Nini?Marekan itakuja jutia kwa hayo maamuz , EU ni imara kuliko US , USA iwe makin na maamuz yake
Haya maamuzi anayochukua US yanaweza kuwaamsha Ulaya na baadae US akapoteza ushawishi wake ndani ya Ulaya na akajutia baadae.US akienda against bara la ulaya ndo ntaamini Trump ana maamuzi magumu. Bara la ulaya ni bara sumbufu mno likiwa active, limelala sababu ya ukaribu wake na USA.