Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

Kwan kosa ni la Zele ? ebu tumia akili bas , Zele kaukuta huo ugomvi na yeye kama rais ana haki ya kulinda mipaka ya Ukraine , msitake kila kiongoz awe kama hawa wa ccmu
Zele hakupata ushauri mzuri kutoka kwa watu wake wa karibu. Ndani na nje ya nchi. Alipoona Russia kashapeleka silaha nzito mpakani wao alipaswa kujiongeza na kuepusha hii vita. Na vilikuwa vinaepukika kama angeacha kumsikiliza Biden ambaye ninnamini kwa kiasi kikubwa ndie aliyechochea hii vita kwa kiwango kikubwa
 
Nnachofurahi Ni kuona wote hao EU na USA wamesalimu AMRI Kwa RUSSIA.

Na wanaotafuta suluhu Kwa njian ya mazungumzo Kwa jasho na damu😅
Us hajasalimu kwa russia trump anataka 50% ya mineral yote pale uk ndio atoe aid ya kijeshi fuatilia vizuri acha kukurupuka
 
Hawa wote walikuwa na Marekani kupeleka silaha Israel na kuishambulia Gaza sasa wanalia lia nini😂

Ufaransa itawakutanisha viongozi wa Ulaya Jumatatu kujadili usalama wa Ukraine baada ya timu ya Trump kuiondoa Ulaya katika mazungumzo na Urusi.

Mkutano huo unaotarajiwa kujumuisha Uingereza, Ujerumani, Poland, na maafisa wa NATO, unalenga kuelezea jukumu la Ulaya katika kuisaidia Kyiv na kulilinda bara hilo.

Huku Trump akichukua mtazamo wa upande mmoja, viongozi wa Ulaya wanang'ang'ania kudai ushawishi-lakini baada ya miaka mingi ya kutokuwa na uamuzi, wanaweza kutoa hatua za kweli?

Chanzo: Reuters
Unafurahi? Wakati gaza inakuw chini ya Us halafu baada ya rus kula kichapo kikali pale middle east maana hana ushawishi kama zamani haswa syria putin anachezew danganya toto tu
 
Unafurahi? Wakati gaza inakuw chini ya Us halafu baada ya rus kula kichapo kikali pale middle east maana hana ushawishi kama zamani haswa syria putin anachezew danganya toto tu
Habari za gaza kuna uzi wangu njoo tujadili huu uzi mada ni.

Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao​

 
Iko hivi US anataka 50% ya mineral ambazo hazijachimbwa pale UK
Halafu RUS anataka 20% ya ardhi pale UK

kwingne Trump anaitaka gaza kwa udi na uvumba hapa putin lazima atulie ni win win situation
Una umri gani?
 
Ulaya haina chochote cha kumtisha putini na marekani yake. Ulaya yote inategemea kulindwa na marekani chini ya NATO ndio maana viinchi vyote vya ulaya vimekimbilia kujiunga na nato labda ujerumani na ufaransa at least they can stand on their own.

Marekani ana uchumi mkubwa,silaha za kisasa na za kutosha,teknolojia ya hali ya juu,intelejensia bora,ushawishi mkubwa kuliko nchi yoyote ya ulaya even togetherly combined. Ulaya itamuambia nini mmarekani?
 
US akienda against bara la ulaya ndo ntaamini Trump ana maamuzi magumu. Bara la ulaya ni bara sumbufu mno likiwa active, limelala sababu ya ukaribu wake na USA.
Haya maamuzi anayochukua US yanaweza kuwaamsha Ulaya na baadae US akapoteza ushawishi wake ndani ya Ulaya na akajutia baadae.
 

EU leaders + UK, wameitisha emergency meeting kuzungumzia swala la Ukraine baada ya hatua za US. Pamoja na future ya NATO ikiwezekena bila ya US.

IMG_7699.jpeg


Ukitaka kupata background ya ugomvi wa Trump na EU; soma kitabu cha ‘John Bolton’ former security advisor kwanini alijizuru.

Trump ni security nightmare na international relationship; juzi kafukuza watu 400 kazi bila ya kujua hiyo department ndio inasimamia nuclear arsenal walizonazo all over US. Baadae kawarudisha.

Yaani anaendelea pale pale alipoishia awamu ya kwanza ambapo ilikuwa mtihani kweli kweli kwa security apparatus za US ku-maintain international relation hasa na European allies.

Kama ni mfuatiliaji wa siasa kina mengi ya kujifunza kuhusu misimamo ya Trump, ukisoma chote unaweza jiuliza how could US security allow huyu mtu kupewa tena nafasi. Maana karudi na wazimu awamu yake ya kwanza afadhali.
 
Back
Top Bottom