Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakaumbi.
🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine.
Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea.
Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya.
Kauli za Zelensky kwamba hatakubali makubaliano ambayo hayajumuishi Ukraine ni za kipuuzi.
Wakati ambapo Marekani itasimamisha utoaji wa silaha kabisa, Ukraine itakuwa na miezi 2-3 kabla ya kuanguka kabisa.
Tayari nimeandika mara milioni kwamba Ulaya ndiyo itashindwa zaidi kutokana na vita hivi, na hapa tuko katika hatua hiyo.
Uropa imetoka rasmi kutoka kwa kundi la nguvu kuu.
===============
The US and Russia will begin negotiations in Saudi Arabia to end the war in Ukraine.
Ukraine and Europe are not invited and will not be asked for their opinion because nothing depends on them.
They have done their job as "useful idiots", and now they can only watch and remain silent.
Zelensky's statements that he will not accept an agreement that does not include Ukraine are ridiculous.
The moment the US stops the delivery of weapons completely, Ukraine will have 2-3 months before it completely collapses.
I've already written a million times that Europe will be the biggest loser from this war, and here we are at that stage.
Europe is officially out of the superpower group.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1891107941974978921?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hii catoon inadhalilisha sana kweli na nashangaa Eu si wana block yao .. na pesa yao strong kabisa euro ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyo
Kama hawatajifunza kwa hili basi .nadistream 2 usa ndo aliyefadhali boma kikalipuliwa ili auze gesiMarekani alihamasisha waweke vikwazo kwa Urusi, wakaharibu miundombinu ya gas saizi huyo kawakimbia
Walibweteka wenyewe Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyoUlaya haina chochote cha kumtisha putini na marekani yake. Ulaya yote inategemea kulindwa na marekani chini ya NATO ndio maana viinchi vyote vya ulaya vimekimbilia kujiunga na nato labda ujerumani na ufaransa at least they can stand on their own.
Marekani ana uchumi mkubwa,silaha za kisasa na za kutosha,teknolojia ya hali ya juu,intelejensia bora,ushawishi mkubwa kuliko nchi yoyote ya ulaya even togetherly combined. Ulaya itamuambia nini mmarekani?
Ugomvi wake Trump na EU, kwenye makubaliano yao ya NATO. Kila nchi mwanachama anatakiwa atenge 2% ya GDP yake kila mwaka kama budget ya ulinzi.Walibweteka wenyewe Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyo
Ndio mana uyu jamaa Watu wakamuona punguani kaichoma Ukraine kasababisa Wa Ukraine Wafe kijinga kabisa!!!! Russia utaiweza kwa silaha za kupewa kwa mkopo!!! Zuzu uyu Zelensky!!! Wapitenae
Mkuu ulitaka Zelesky akae kimya nchi yake ivamiwe kisa tu hana nguvu kama mvamizi? Kwa maana nyingine ni kuwa Ukraine ndiye amekuwa wa kwanza kurusha silahaa Russia.Ndio mana uyu jamaa Watu wakamuona punguani kaichoma Ukraine kasababisa Wa Ukraine Wafe kijinga kabisa!!!! Russia utaiweza kwa silaha za kupewa kwa mkopo!!! Zuzu uyu Zelensky!!! Wapitenae tu!!!!
afrika aliita shit hole yaani shimo la choo, ana dharau sanaTramp anaidharau ulaya, kama anaidharau ulaya na kuiona haina cha kuchangia je afrika anaionaje?
Umeamua kujifurahisha , subili wakubwa waongee watoto kaeni nje mtaitwa tukimaliza kuongeaUnafurahi? Wakati gaza inakuw chini ya Us halafu baada ya rus kula kichapo kikali pale middle east maana hana ushawishi kama zamani haswa syria putin anachezew danganya toto tu
Hujui chanzo Cha hii vita fuatilia vizuri utaelewaMkuu ulitaka Zelesky akae kimya nchi yake ivamiwe kisa tu hana nguvu kama mvamizi? Kwa maana nyingine ni kuwa Ukraine ndiye amekuwa wa kwanza kurusha silahaa Russia.
Kweli. Ila kwa jambo kama hili kutokea inahitajika miaka zaidi ya mi5, DT atakuwa katoka.Haya maamuzi anayochukua US yanaweza kuwaamsha Ulaya na baadae US akapoteza ushawishi wake ndani ya Ulaya na akajutia baadae.
Pole kwa maumiv maana habari yangu hujaipenda kabsa dogoUmeamua kujifurahisha , subili wakubwa waongee watoto kaeni nje mtaitwa tukimaliza kuongea
Wa kukojoa maji ya mchele na kukutia mimba kabsa na ukaenda lebaUna umri gani?
UNadhani trump ni mjinga tu amuachie putin afanye fujo ukraine? 😂Usiwe punguani hizo 50% atapewa na nani?