Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Mkiambiwa Putin Ni genius ,alishaplan hii move long time,alishajua yafuatayo kabla sisi wachambuzi wabongo hatujajua Vita utakuwepo
1.Aliplan hii Vita muda mrefu
2.Aliplan maeneo gani muhimu atayachukua na maeneo gani atawaachia ili mteseke nayo
3.mtakuja na vikwazo vitavyowaumiza nyinyi na dunia
4.alishajiandaa kwa pesa,mafuta,gesi,chakula,silaha,watu kwa muda mrefu
5.Alishajiandaa kwa gharama za Vita ili asifiliisike ie ameshachukua maeneo ya Ukraine yenye viwanda vikubwa, bandari,powerplants,nuclear plants,migodi kikubwa,food reserves etc
Kwa mbumbumbu wasiojua sasaivi sio gharama ya Vita tu anayogharamia Ukraine mwenyewe Bali mapato muhimu na resources anachukua Russia, pia silaha za misaada kwa Ukraine kutoka kwa mashoga ndio hizo hizo anazotumia kwa kuziteka na pia anatumia silaha za zamani USSR age kuclear mahhala ya silaha huku akijiandaa kwa Vita kubwa na ndefu na NATO na USA
6.Maeneo anayochukua Ni yake maeneo pia yaliyo karibu na Nate kiboundary,hivyo basi Kuna uwezekano mkubwa Eneo kubwa la Ukraine kuwa buffer. Zone ya Russia kwa kuwekewa silaha kubwa na nuclear na Ukraine kubaki na kupanda tu,
7.Muda huu wa Vita Russia anasambaza technology hatari Kama za ICBMs,S-400,500,550generation , nuclear ,hypersonic a etc kwani USA na NATO wameshavunja agreement ya usambazaji silaha,
8.Akimaliza hii show hakuna kima yoyote anayepakana nae atakayethubutu kudanganyika na mashoga Tena
Adios

Kuna tim upinde wamenuna baada ya kusoma hapa
 

Attachments

  • img_1_1660159349211.jpg
    img_1_1660159349211.jpg
    9.3 KB · Views: 3
Mrusi hii vita itaigharimu sana mbeleni
Kuvamia Ukraine walikosea Urusi itaendelea kuwa vitani kwa Miaka mingi ijayo

Wangekuwa na akili wangeondoka Ukraine
Urusi ilitakiwa impindue Putin na kumuua kabisa sababu yeye ndie Tatizo Urusi
Mkuu ukisema Putin ndio tatizo utakuwa unakosea kidogo. Pale Russia kuna mijamaa mibabe yenye misimamo ya ajabu. Yaani huyo Putin ni kama anaelekezwa cha kufanya na hao inner circle wa Russia. Wakati Putin alipotaka kuwafanya mateka wa vita (prisoners of war) wale wanajeshi waliokamatwa kule Mariupol, hao wababe walimwambia hakuna inabidi hao mateka washitakiwe kama magaidi na kesi zao zirushwe live na wakipatikana na hatia wanyongwe live. Mojawapo ya hao wababe ni Spika wa Bunge la Urusi.
 
Back
Top Bottom